frado
Member
- Nov 26, 2020
- 8
- 23
Ni wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa
leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho wao
Ni ujio wa APP ya CANVA
App ambayo inamruhusu mtu yoyote kudesign chochote bure kabisa na kama ukipenda unaweza kulipia CANVA PRO
HII NI APP ambayo utakuta tayari kuna posters, flyers, greeting cards, intro videos n.k
na kazi yako inakuwa kuedit tu kwa kubadili picha iliyopo, Rangi, maneno n.k (hizi wanaita TEMPLATES)
Nitakupa mifano ya Design ambayo nimetoka kutengeneza sasa hivi
unaweza kuona ilivyo simple kabisa
kama graphic designer hautaweza kwendana na speed ya TECHNOLOGY basi utapoteza ajira yako
GRAPHICS DESIGNER AFANYE NINI?
Jiunge katika majukwaa ya kuuza ujuzi kama upwork, fiverr, koji,etsy lakini pia unaweza kuuza templates kulekule CANVA
Credit @kidigitalii