Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaisa 💯💯💯💯📌📌Graphics designer ambaye Yuko serious lazima atahakikisha anajua adobe
Acha kuwatisha watu yaan hiyo ni sawa na ukisema kuwepo kwa calculator ni kuuwa soko la uhasibu design sio kuchora na kupangapanga tu picha ni taaluma. Mpaka ujifunze kwanza kama photoshop tu usifikiri utadownload canva na kuanza kupata dili za kutengeneza graphicsNi wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa
leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho wao
Ni ujio wa APP ya CANVA
App ambayo inamruhusu mtu yoyote kudesign chochote bure kabisa na kama ukipenda unaweza kulipia CANVA PRO
HII NI APP ambayo utakuta tayari kuna posters, flyers, greeting cards, intro videos n.k
na kazi yako inakuwa kuedit tu kwa kubadili picha iliyopo, Rangi, maneno n.k (hizi wanaita TEMPLATES)
Nitakupa mifano ya Design ambayo nimetoka kutengeneza sasa hivi
View attachment 2425668
unaweza kuona ilivyo simple kabisa
kama graphic designer hautaweza kwendana na speed ya TECHNOLOGY basi utapoteza ajira yako
GRAPHICS DESIGNER AFANYE NINI?
Jiunge katika majukwaa ya kuuza ujuzi kama upwork, fiverr, koji,etsy lakini pia unaweza kuuza templates kulekule CANVA
Credit @kidigitalii
View attachment 2425665
View attachment 2425661
Kwenye maisha hakuna kuchelewa.Napenda hii fani ila nahisi nimechelewa
anzia YouTube..Wakuu, napenda kujifunza hii field, ila sijui nianzie wapi..
[emoji2]lazima ataelewa tuKuna tofauti kati ya kununua nyumba za NHC na kuchora ramani mwenyewe.
Cha kuongezea hakikisha una vifaa vya kufanyia kazi either pc or high quality smartphone. Na pia uwe na resources hapa namaanisha picha, fonts, shapes, brushes n.kanzia YouTube..
andika Graphics design for beginners/ Introduction to graphics design.
Unasoma course gani? Mimi hiyo nilipiga pia ilikuwa module kwenye Information Technology, ilikuwa rahisi kwangu maana nilishaanza kufanya Graphic Design kitambo sana.Hili somo nasoma chuo ila nahisi sio fani yangu kwakweli uwiii
Computing and information technologyUnasoma course gani? Mimi hiyo nilipiga pia ilikuwa module kwenye Information Technology, ilikuwa rahisi kwangu maana nilishaanza kufanya Graphic Design kitambo sana.