Mwisho wa graphics designers huu hapa

Jiwekeze kwenye utofauti.
Jifunze Photoshop na Illustrator
 
Duh nmekuja fasta nkijua unaongelea Dalle 2.
Kumbe bado unaongelea hizo teknolojia za zamani za canva.
Tako linalokujia imeshakuwa kubwa sana saivi.
Hii Dalle yani wewe unaandika tu maneno picha inakuja
 
Kwani kuna mtu kashushwa Duniani kuja kupiga mishe za graphics designing peke yake
 
Acha kuwatisha watu yaan hiyo ni sawa na ukisema kuwepo kwa calculator ni kuuwa soko la uhasibu design sio kuchora na kupangapanga tu picha ni taaluma. Mpaka ujifunze kwanza kama photoshop tu usifikiri utadownload canva na kuanza kupata dili za kutengeneza graphics
Na kwa bahati mbaya usefully features nyingi kwenye canva zipo kwenye canva pro huwezi zipata bure kwahiyo kwa yoyote anaetaka kukimbilia huko usifikiri mambo ni maraisi kunahitaji u serious pia
 
Unazungumzia Graphic Design ipi inakufa ?? kwa hizo template za Canva ?? You are not serious na hauijui Graphic Design.

Canva imewarahisishia wajasiriamali wadogo ambao wanahtaj angalau kushare huduma au bidhaa zao kila siku mitandaon. Hapo imewapunguzia gharama za kuwalipa Graphic Designers. Na hata hivo Canva ya free ina templates chache za bure kwahivo template moja inaweza tumika na watu zaidi ya mmoja.

Unapozungumzia branding huwez tumia Canva, huwez create logo nzuri kwenye canva, huwez design large format banners, huwez design magazines, by the way ni mambo mengi huwezi kuyafanya na hiyo Canva so usikurupuke kusema Graphic Design inakufa noo, Ungesema Canva imepunguza gharama kwa wafanyabiashara wadogo.
 
anzia YouTube..

andika Graphics design for beginners/ Introduction to graphics design.
Cha kuongezea hakikisha una vifaa vya kufanyia kazi either pc or high quality smartphone. Na pia uwe na resources hapa namaanisha picha, fonts, shapes, brushes n.k
 
Wengi walianzia Canva wakaishia kwenye adobe products.
Mfano hakuna Mockup Canva ili utengeneze reality view Kwa mteja.

Canva ni kuanzia sio hitimisho. Kuna sehemu utakwama u
 
Graphic designer ni Art sio kama unavyofikili ndugu mteja japokuwa technology inrevolve Kwa Kasi kubwa ila art haiwezi kufa itabaki kuwepo tu. Kunax teAI Technology ya Kila kitu ila mbona BDO vitu vipo tu???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…