Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Hatimaye Microsoft wamesema windows10 22H2 ndiyo version ya mwisho. Kuanzia Sasa akutakua na Tena na muendelezo wa window 10.
Latest version ya ๐ช๐ถ๐ป๐ฑ๐ผ๐๐ญ๐ฌ ndiyo itakua ya mwisho akuna Tena window 10 nyingine itakayotoka au kupata feature mpya ambazo zinakuja na window ndani yake.
October 2022 Microsoft waliachia version 22h2 ya ๐ช๐ถ๐ป๐ฑ๐ผ๐๐ญ๐ฌ ambayo mr Jason Leznek alisema hii ndo final version ya window10 kuanzia Sasa akutakua Tena na toleo jipya la window kupitia vifaa vyetu.
Microsoft wataendelea kutoa support ya window 10 ya kupokea security update kwa ajili ya kujilinda dhidi ya Virus na malware kwenye kompyuta zetu mpaka kufikia mwaka 2025 October 14, ikiwa pamoja na long term servicing channel (ltsc).
๐ช๐ถ๐ป๐ฑ๐ผ๐๐ญ๐ฌ bado itaendelea kuwa window pendwa ulimwenguni maana asilimia 73% ya watu wote ulimwenguni wanatumia wakati asilimia 21% wanatumia window 11 tafiti zilizofanywa na startcounter Global ya marekani.
Unafikiri window 11 inawezekana kuwa pendwa zaidi ya window 10 ulimwenguni tuachie maoni yako ?
Credit: Bongo tech