Matunzo 02
JF-Expert Member
- Jul 7, 2026
- 1,620
- 3,165
Jambo lenye uhakika siku moja utakufa matatizo, changamoto zote zitapotea ukifa maan hakuna mtu atayerithi matatizo yako unapokufa na zenyewe zinakufa.
Chakushagaza watu kila siku wanalalamika mambo ni magumu wengine wanakata tamaa wanaachana na maisha lakni watu wanajua mwisho wa siku utakufa na mambo magumu utaachana nayo na hawachukui uamuzi wa kujiua kwann usijiue uachane na mambo magumu ya dunian??
=>watu hawajiui kwasababu wanajua mambo yatakuwa mazuri huko mbeleni na maisha yao yanathaman kubwa kuliko matatizo wanayokutana nayo
HAKUNA MTU AMBAYE YUPO TAYARI KUPOTEZA KITU CHENYE THAMAN KUBWA KWAKE.
sabato njema.