Mwisho wa namba za mtihani kidato cha nne na sita kwenye kuomba chuo ni miaka mingapi?

immortanity

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2024
Posts
859
Reaction score
1,591
Muda wa matumizi ya namba ya mtihani kidato cha nne na cha sita katika kuomba kujiunga chuo kikuu kwa hapa Bongo(Tz) inachukuwa miaka mingapi kuisha matumizi yake?
Mfano nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na cha sita 2024 naweza omba chuo mwaka 2030 kwa mfano .

Wakuu naombeni ufafanuzi hapo.
Natanguliza shukrani
Kiranga
Liverpool VPN
Smart911 & @ dr santos
 
Namba ya kidato cha nne ina expire kama muhtimu hata weza kuendelea na kidato cha tano na sita mwaka wa masomo aliopangiwa, lakini anaweza kuitumia kuapply vyuo vya kati vingine mwaka wowote atakaojisikia.
Huyu muhitimu wa kidato cha sita anaweza akae home 10+ yrs na aka apply chuo kikuu UDSM na akapata nafasi.
 
Muda wowote
 
naona umeongelea udsm pekee vipi kuhusu hivyo vyuo vingine?
 
Namba ya kidato cha nne ina expire kama muhtimu hata weza kuendelea na kidato cha tano na sita mwaka wa masomo aliopangiwa, lakini anaweza kuitumia kuapply vyuo vya kati vingine mwaka wowote atakaojisikia.
Huyu muhitimu wa kidato cha sita anaweza akae home 10+ yrs na aka apply chuo kikuu UDSM na akapata nafasi.
nime-apply mwaka jana medical doctor nimetemwa na mwaka huu tena vivyo hivyo sa nataka nighairi nifanye mambo mengine then kwa mbele hapo ndio ni apply tena
 
Muda wa matumizi ya namba ya mtihani kidato cha nne na cha sita katika kuomba kujiunga chuo kikuu kwa hapa Bongo(Tz) inachukuwa miaka mingapi kuisha matumizi yake?
Mfano nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na cha sita 2024 naweza omba chuo mwaka 2030 kwa mfano .

Wakuu naombeni ufafanuzi hapo.
Natanguliza shukrani
Kiranga
Liverpool VPN
Smart911 & @ dr santos
mtu wa system
 
Ni "un-expireble..!!!""

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Namba ya kidato cha nne na cha sita haina expiry date.
Unaomba chuo mwaka wowote mradi matokeo yako yanakidhi vigezo vya kudahiliwa kwenye chuo husika.
 
nime-apply mwaka jana medical doctor nimetemwa na mwaka huu tena vivyo hivyo sa nataka nighairi nifanye mambo mengine then kwa mbele hapo ndio ni apply tena
nawewe dogo kichwa mbuzi kweli ni lazima ujoin chuo kikuu ,Anza na vyuo vyakati tena itakuwa dr borakabisa kuliko watakaopata nafasi hizo vyuoni Leo

Piga dploma ,PATA ajira baadae unaingia chuo kikuu ,,,,,,unakula Bata tuu
 
nime-apply mwaka jana medical doctor nimetemwa na mwaka huu tena vivyo hivyo sa nataka nighairi nifanye mambo mengine then kwa mbele hapo ndio ni apply tena
Kwan lazima usome Doctor of Medicine mkuu!?? Kuna mambo mengine yakusoma na kadri unacyokaa muda mrefu madogo wanapasua vibaya mnoo nawewe unazidi kupunguza Probability chance ya kuwa Admitted
 
Back
Top Bottom