immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,591
Muda wowoteNamba ya kidato cha nne ina expire kama muhtimu hata weza kuendelea na kidato cha tano na sita mwaka wa masomo aliopangiwa, lakini anaweza kuitumia kuapply vyuo vya kati vingine mwaka wowote atakaojisikia.
Huyu muhitimu wa kidato cha sita anaweza akae home 10+ yrs na aka apply chuo kikuu UDSM na akapata nafasi.
kaziia neno "muda wote"Muda wowote
naona umeongelea udsm pekee vipi kuhusu hivyo vyuo vingine?Namba ya kidato cha nne ina expire kama muhtimu hata weza kuendelea na kidato cha tano na sita mwaka wa masomo aliopangiwa, lakini anaweza kuitumia kuapply vyuo vya kati vingine mwaka wowote atakaojisikia.
Huyu muhitimu wa kidato cha sita anaweza akae home 10+ yrs na aka apply chuo kikuu UDSM na akapata nafasi.
nime-apply mwaka jana medical doctor nimetemwa na mwaka huu tena vivyo hivyo sa nataka nighairi nifanye mambo mengine then kwa mbele hapo ndio ni apply tenaNamba ya kidato cha nne ina expire kama muhtimu hata weza kuendelea na kidato cha tano na sita mwaka wa masomo aliopangiwa, lakini anaweza kuitumia kuapply vyuo vya kati vingine mwaka wowote atakaojisikia.
Huyu muhitimu wa kidato cha sita anaweza akae home 10+ yrs na aka apply chuo kikuu UDSM na akapata nafasi.
DR Mambo Jambo mwongozo tafadhalinime-apply mwaka jana medical doctor nimetemwa na mwaka huu tena vivyo hivyo sa nataka nighairi nifanye mambo mengine then kwa mbele hapo ndio ni apply tena
mtu wa systemMuda wa matumizi ya namba ya mtihani kidato cha nne na cha sita katika kuomba kujiunga chuo kikuu kwa hapa Bongo(Tz) inachukuwa miaka mingapi kuisha matumizi yake?
Mfano nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na cha sita 2024 naweza omba chuo mwaka 2030 kwa mfano .
Wakuu naombeni ufafanuzi hapo.
Natanguliza shukrani
Kiranga
Liverpool VPN
Smart911 & @ dr santos
Ni "un-expireble..!!!""Muda wa matumizi ya namba ya mtihani kidato cha nne na cha sita katika kuomba kujiunga chuo kikuu kwa hapa Bongo(Tz) inachukuwa miaka mingapi kuisha matumizi yake?
Mfano nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na cha sita 2024 naweza omba chuo mwaka 2030 kwa mfano .
Wakuu naombeni ufafanuzi hapo.
Natanguliza shukrani
Kiranga
Liverpool VPN
Smart911 & @ dr santos
daaah mkuu naweza ku-PM nahitaji ushauri zaidiNi "un-expireble..!!!""
#YNWA
#YANGA_BINGWA
shukran mkuuNamba ya kidato cha nne na cha sita haina expiry date.
Unaomba chuo mwaka wowote mradi matokeo yako yanakidhi vigezo vya kudahiliwa kwenye chuo husika.
nawewe dogo kichwa mbuzi kweli ni lazima ujoin chuo kikuu ,Anza na vyuo vyakati tena itakuwa dr borakabisa kuliko watakaopata nafasi hizo vyuoni Leonime-apply mwaka jana medical doctor nimetemwa na mwaka huu tena vivyo hivyo sa nataka nighairi nifanye mambo mengine then kwa mbele hapo ndio ni apply tena
Kwan lazima usome Doctor of Medicine mkuu!?? Kuna mambo mengine yakusoma na kadri unacyokaa muda mrefu madogo wanapasua vibaya mnoo nawewe unazidi kupunguza Probability chance ya kuwa Admittednime-apply mwaka jana medical doctor nimetemwa na mwaka huu tena vivyo hivyo sa nataka nighairi nifanye mambo mengine then kwa mbele hapo ndio ni apply tena