Mwisho wa namba za mtihani kidato cha nne na sita kwenye kuomba chuo ni miaka mingapi?

Namba ya kidato cha nne na cha sita haina expiry date.
Unaomba chuo mwaka wowote mradi matokeo yako yanakidhi vigezo vya kudahiliwa kwenye chuo husika.
Kule NACTE hasa vyuo vya Afya vya Wizara ya Afya wao kuna muda ukifika huwezi kudahiliwa hivyo vyuo waga wanaweka kama miaka mi4 hivi toka umemaliza kidato cha 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…