Mwisho wa siku tutawauliza CCM mlikuwa mnatetea mkataba wa bandari wa dpw kwa maslahi ya nani na kwa maslahi yapi ya ziada?

Mwisho wa siku tutawauliza CCM mlikuwa mnatetea mkataba wa bandari wa dpw kwa maslahi ya nani na kwa maslahi yapi ya ziada?

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2021
Posts
1,117
Reaction score
3,153
Daaaaaaaaaah
Kuna maslahi gani ya ziada kati ya CCM yetu na mkataba wa DPW ??
Budget ya hii mikutano kuhusu kinachoitwa ELIMU ya mkataba wa DPW imetoka wapi ??
Kwanini imekuwa ghafla na kwa CCM kufanya uamuzi wa ajabu ambao haujapata kutokea wa kuzunguka NCHI kuelezea mkataba mmoja tu ??
Kwanini CCM YETU INAUTETEA SANA MKATABA HUU ??
Kwa ufupi.
" Mkataba unatakiwa ujisimamie na ujitetee,ila watu wanautetea bila "baseline" za data na facts kwenye mkataba huo,hakuna research wala data, mkataba hauna data ambazo ni measured kisayansi watu wanacheza na maneno tu ambayo hayapo kwenye mkataba

Viongozi wetu wanabidi wajue wanaongoza ANALYTICAL MINDED GENERATION wako WELL INFORMED kupitia njia mbalimbali za mass communications hususani social media wanapata taarifa mbalimbali na kwa sababu kizazi cha sasa kina wasomi wengi mitaani wanachakata taarifa mbalimbali kutafuta ukweli.
Habari ya kuenda nchi kwa propaganda kwenye mambo msingi kama UWEKEZAJI WA BANDARI HAUTAISAIDIA SERIKALI NA CCM YETU.
 
Mbona mnatuchanganya

Msigwa anasema hakuna mkataba wa Bandari ulioingiwa
Bunge limepitisha Nini?
Viongozi CCM wanazungika kutoa Elimu ya Mkataba Gani?
 
Back
Top Bottom