Mwisho wa ubaya ni aibu, baada ya Simba kujaribu kumkomoa wakili msomi "Benard Morrison", yeye atamba hahitaji barua ya simba kusajiliwa Yanga

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
CAF YAUNGANA NA YANGA KUMNASUA MORRISON, Simba wamechezwa kanya boya na wakili msomi walietaka kumkomoa 😂😂

Baada ya Simba kugoma kumtolea barua ya muachia Mshambuliaji wake Benard Morrison mpaka mwezi wa nane, sasa shirikisho la mpira Afrika CAF limesogeza mbele siku za kupeleka majina ya klabu bingwa kutoka tarehe 30/06/2022 hadi tarehe 15/08/2022

Ikumbukwe Mkataba wa Morrison na Simba unaisha tarehe 14/08/2022 siku moja kabla ya Dirisha kufungwa

Kwa taarifa hiyo ni kwamba Morrison haitaji tena barua ya Simba kujiunga Yanga yaani haitaji chochote😂😂😂😂😂😂😂

GENTAMYCINE
 
CAF YAUNGANA NA YANGA KUMNASUA MORRISON, Simba wamemkosa waliotaka kumkomoa waangukia pua

Baada ya Simba kugoma kumtolea barua ya muachia Mshambuliaji wake Benard Morrison mpaka mwezi wa nane, sasa shirikisho la mpira Africa CAF limesogeza mbele siku za kupeleka majina ya klabu bingwa kutoka tarehe 30/06/2022 hadi tarehe 15/08/2022

Ikumbukwe Mkataba wa Morrison na Simba unaisha tarehe 14/08/2022 siku moja kabla ya Dirisha kufungwa

Kwa taarifa hiyo ni kwamba Morrison haitaji tena barua ya Simba kujiunga Yanga yaani haitaji chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

GENTAMYCINE
Morisoni +Manara+Mashabiki hamnazo=Yangavichaa fc
 
So ina maana atacheza mechi za kimataifa tu? Vipi kuhusu mechi za ndani? I mean dirisha la Tff linafungwa lini?
 
Sikuona sababu ya kumpa mshahara mtu tusiyemuhitaji. Tungempa maelekezo kisheria ya kuvunja mkataba wake tuokoe hizo pesa na tukwepe vita vya maneno ya mitandaoni isiyo na maana kwa mnyama.
Aliwazidi tu akili kama alivyo wazidi kaka zenu wa Yanga kipindi kile. Hivyo kuweni tu wapole.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
CAF YAUNGANA NA YANGA KUMNASUA MORRISON, Simba wamechezwa kanya boya na wakili msomi walietaka kumkomoa 😂😂

Baada ya Simba kugoma kumtolea barua ya muachia Mshambuliaji wake Benard Morrison mpaka mwezi wa nane, sasa shirikisho la mpira Afrika CAF limesogeza mbele siku za kupeleka majina ya klabu bingwa kutoka tarehe 30/06/2022 hadi tarehe 15/08/2022

Ikumbukwe Mkataba wa Morrison na Simba unaisha tarehe 14/08/2022 siku moja kabla ya Dirisha kufungwa

Kwa taarifa hiyo ni kwamba Morrison haitaji tena barua ya Simba kujiunga Yanga yaani haitaji chochote😂😂😂😂😂😂😂

GENTAMYCINE
Simba ilifanya ubaya gani?
 
acha uzuzu mkuu. Morrison ana mkataba na Simba na bado haujaisha. Simba walikuwa na Mambo mawili tu uje mezani tuongee uuzwe au uvunje mkataba au usubiri mkataba uishe uondoke huru. Au Simba inagawa wachezaji bure.Kwamba unaibuka tu hutaki kusaini mkataba mpya na unapewa tu barua unaondoka.

Uhuni wa Simba Ni upi Mkuu ndugu tangu. Karibu
 
Umekuja kudhihirisha hapo utopoloni wenye akili ni wawili tu waliobaki wote hamnazo
 
Attachments

  • 20220617_095225.jpg
    20220617_095225.jpg
    27.8 KB · Views: 6
Akili ipi? Yeye mkataba wake utaisha ataondoka free. Sasa sijui unamsifu Morrison KWA lipi.
Si mnaendelea kumlipa mshahara mpaka sasa kwenye hiyo likizo yake, huku mkijua fika baada ya hapo ataenda kwa wapinzani wenu wa jadi Yanga! Au?
 
Back
Top Bottom