sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
CAF YAUNGANA NA YANGA KUMNASUA MORRISON, Simba wamechezwa kanya boya na wakili msomi walietaka kumkomoa 😂😂
Baada ya Simba kugoma kumtolea barua ya muachia Mshambuliaji wake Benard Morrison mpaka mwezi wa nane, sasa shirikisho la mpira Afrika CAF limesogeza mbele siku za kupeleka majina ya klabu bingwa kutoka tarehe 30/06/2022 hadi tarehe 15/08/2022
Ikumbukwe Mkataba wa Morrison na Simba unaisha tarehe 14/08/2022 siku moja kabla ya Dirisha kufungwa
Kwa taarifa hiyo ni kwamba Morrison haitaji tena barua ya Simba kujiunga Yanga yaani haitaji chochote😂😂😂😂😂😂😂
GENTAMYCINE