sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Morisoni +Manara+Mashabiki hamnazo=Yangavichaa fcCAF YAUNGANA NA YANGA KUMNASUA MORRISON, Simba wamemkosa waliotaka kumkomoa waangukia pua
Baada ya Simba kugoma kumtolea barua ya muachia Mshambuliaji wake Benard Morrison mpaka mwezi wa nane, sasa shirikisho la mpira Africa CAF limesogeza mbele siku za kupeleka majina ya klabu bingwa kutoka tarehe 30/06/2022 hadi tarehe 15/08/2022
Ikumbukwe Mkataba wa Morrison na Simba unaisha tarehe 14/08/2022 siku moja kabla ya Dirisha kufungwa
Kwa taarifa hiyo ni kwamba Morrison haitaji tena barua ya Simba kujiunga Yanga yaani haitaji chochote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
GENTAMYCINE
Aliwazidi tu akili kama alivyo wazidi kaka zenu wa Yanga kipindi kile. Hivyo kuweni tu wapole.Sikuona sababu ya kumpa mshahara mtu tusiyemuhitaji. Tungempa maelekezo kisheria ya kuvunja mkataba wake tuokoe hizo pesa na tukwepe vita vya maneno ya mitandaoni isiyo na maana kwa mnyama.
Tff hao wanachojua ni pesa tu na klabu ina mpunga ππSo ina maana atacheza mechi za kimataifa tu? Vipi kuhusu mechi za ndani? I mean dirisha la Tff linafungwa lini?
Simba ilifanya ubaya gani?CAF YAUNGANA NA YANGA KUMNASUA MORRISON, Simba wamechezwa kanya boya na wakili msomi walietaka kumkomoa ππ
Baada ya Simba kugoma kumtolea barua ya muachia Mshambuliaji wake Benard Morrison mpaka mwezi wa nane, sasa shirikisho la mpira Afrika CAF limesogeza mbele siku za kupeleka majina ya klabu bingwa kutoka tarehe 30/06/2022 hadi tarehe 15/08/2022
Ikumbukwe Mkataba wa Morrison na Simba unaisha tarehe 14/08/2022 siku moja kabla ya Dirisha kufungwa
Kwa taarifa hiyo ni kwamba Morrison haitaji tena barua ya Simba kujiunga Yanga yaani haitaji chochoteπππππππ
GENTAMYCINE
Akili ipi? Yeye mkataba wake utaisha ataondoka free. Sasa sijui unamsifu Morrison KWA lipi.Aliwazidi tu akili kama alivyo wazidi kaka zenubwa Yanga kipindi kile. Hivyo kuweni tu wapole.
acha uzuzu mkuu. Morrison ana mkataba na Simba na bado haujaisha. Simba walikuwa na Mambo mawili tu uje mezani tuongee uuzwe au uvunje mkataba au usubiri mkataba uishe uondoke huru. Au Simba inagawa wachezaji bure.Kwamba unaibuka tu hutaki kusaini mkataba mpya na unapewa tu barua unaondoka.CAF YAUNGANA NA YANGA KUMNASUA MORRISON, Simba wamechezwa kanya boya na wakili msomi walietaka kumkomoa ππ
Baada ya Simba kugoma kumtolea barua ya muachia Mshambuliaji wake Benard Morrison mpaka mwezi wa nane, sasa shirikisho la mpira Afrika CAF limesogeza mbele siku za kupeleka majina ya klabu bingwa kutoka tarehe 30/06/2022 hadi tarehe 15/08/2022
Ikumbukwe Mkataba wa Morrison na Simba unaisha tarehe 14/08/2022 siku moja kabla ya Dirisha kufungwa
Kwa taarifa hiyo ni kwamba Morrison haitaji tena barua ya Simba kujiunga Yanga yaani haitaji chochoteπππππππ
GENTAMYCINE
Si mnaendelea kumlipa mshahara mpaka sasa kwenye hiyo likizo yake, huku mkijua fika baada ya hapo ataenda kwa wapinzani wenu wa jadi Yanga! Au?Akili ipi? Yeye mkataba wake utaisha ataondoka free. Sasa sijui unamsifu Morrison KWA lipi.
Si bora yanga wana watu wawili wenye akili huko kwenu tuliambiwa wote ni mbumbumbuUmekuja kudhihirisha hapo utopoloni wenye akili ni wawili tu waliobaki wote hamnazo
Matkatako wwMASHABIKI WA DAH YANGA YAFIRIKA WOTE NI MAUMBWA - PROF LUC EYMAEL.
August 31.So ina maana atacheza mechi za kimataifa tu? Vipi kuhusu mechi za ndani? I mean dirisha la Tff linafungwa lini?
Wakikujibu unirushie jibu.Hivi hapa Tanzania hakuna mchezaji mwenye kipaji kumzidi huyo jamaa.