Coolhigh
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 1,373
- 1,271
TFF wana dirisha? Si wameweka shuka tu upepo ukivuma unawaona na ukitaka unaingia any time.So ina maana atacheza mechi za kimataifa tu? Vipi kuhusu mechi za ndani? I mean dirisha la Tff linafungwa lini?