Mwisho wa Ukomunisti nchini Cuba

Mwisho wa Ukomunisti nchini Cuba

Albinoomweusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Posts
3,433
Reaction score
8,585
Christopher Cyrilo ameandika haya

Kushoto ni Fidel Castro, aliyekuwa Waziri mkuu wa Cuba kutoka mwaka 1959 hadi 1976, Rais wa nchi hiyo kutoka 1976 hadi 2008.

Kulia na Ernesto Rafael Guavara maarufu kama Che Guavara, rafiki na mpambanaji wa karibu wa Fidel Castro.

Katikati ni Raul Castro, mdogo wa Fidel Castro na Rais wa sasa wa Cuba. Picha imepigwa mwaka 1961.

Raul Castro amaetangaza kujiuzuku Urais wa Cuba iliyokuwa nchi ya kikomunisti kwa miaka 62. Nafasi yake itachukuliwa na Bw. Miguel Díaz Canel (60), ambaye ataibadili Cuba kutoka kuwa nchi ya kikomunisti na kuruhusu mifumo mipya ya dunia ya kileo.

Pigo kwa Ukomunisti.

My take .

Ukomunisti na ma zongezonge yake yoote ni mfumo wa vitabuni na ulipaswa kufeli miaka ya 1980 ,

Hawa Kina Fidel na wenzake ni udikteta tu uliwasalimisha .

Nyerere was scholar na alijua kuwa ujamaaa hauwezi kuisogeza nchi yetu .

Ndio maana hakuwaachia nchi Kina Butiku , Warioba na Salim maana hao walikua wa Marxist sana ...wangetufiligisa zaidi.

Anaewaza ujamaaa leo huyo ni mufilisi tu .

Kwaheri ujamaaa , kwa heri umwamba
Nenda ujamaaa , usirudi tena
FB_IMG_1619109769149.jpg
 
Ujamaa raia mkiwa wachache unakuwa mtamu sana ila mkishakuwa wengi ujamaa unakuwa ni upuuzi wa maigizo ya itikadi ambazo haziendani na wakati....
 
Shida Wengi kutambua Maana halisi ya ujamaa Ndio changamoto kubwa Sana Ila ukiusoma ujamaa na kuelewa hasa wa Maeneo husika Ndio utafikiria zaidi .

Mfano Ujamaa Kwa Kwetu Hapa Chini ya Mwalimu Nyerere licha ya watu kusema ulikuwa nakasoro nyingi Lakini ulikuwa na mambo muhimu Sana pia
 
Back
Top Bottom