Mwislamu anaamini ili uelewe maandiko ya Mtume S.W.A lazima ukariri alichokosema kwa kiarabu

Mwislamu anaamini ili uelewe maandiko ya Mtume S.W.A lazima ukariri alichokosema kwa kiarabu

Qur’an 109

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
 
Upuuzi mtupu ulioenezwa duniani! Ni kansa ya dunia kupona ni shughuli pevu. Hii ni imani potofu kuwahi kutokea duniani. Sasa mimi mgagagigikoko sijui hiyo lugha ya dini ina maana Mungu hanitambui? Ina maana Mungu hatambui lugha yangu? Ujinga mtupu kudhani hiyo ndiyo lugha ya Mungu na zingine hazitambuliki?
 
Ndio lugha inayotumika huko mbinguni.
Watani zangu wakinga sijui watawasiliana vipi na sir God.
😂😂😂
 
Asalaam alyekum - Amani iwe nanyi.

Inalilah waina ilay rajiun -Hakika sisi ni wa mwenyezi Mungu na kwake tutarejea.
 
Ndiyo maana Mufti alimuombea msamaha Maalim aliyerecordiwa akitembeza bakora!!

Kukariri yale madude huwa ni bakora zinatembea si mchezo!!
 
Kilekile alichokisema mtume Mohamed ukikisema kwa kipare hawakuamuni. Utasikia wamaata shaaula alaknau waakadari....tuutenmuuka mantashariii.
Mnataka muongee walokole tu lugha mpya mkishukiwa na roho mtakatifu , sisi waislamu tukiongee kiarabu tatizo
 
Ushawishi wa dini utapungua sana Africa ya kusini mwa Sahara. (I don't like using Sub-Saharan Africa. For it's ridiculous to label, name or define the majority of an entire continent in contrast of the minority. It should be Africa and North Africa.)
 
Qur’an 109

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.

Huyo muarabu alikuwa na ulazima gani kuja kuanzisha dini yake yenye mambo mengi ya kijuha, halafu alivyokua mchafu wa kudinya katoto ka miaka tisa
 
Qur’an 109

1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Mwarabu kakudanganya uwaite Waafrika wenzako makafiri
 
Mwarabu kakudanganya uwaite Waafrika wenzako makafiri

Hata katika waarabu kuna makafiri. Sio waarabu wote ni Waislam.

Na Qur-aan ni maneno ya Allah sio maneno ya waarabu wala sio maneno ya kiumbe chochote. Qur-aan ni Maneno ya Allah, Qur-aan sio kiumbe. Na Uislam ni Dini Aliyoileta Allah kwetu, haijatungwa na waarabu.

Na kuna Waislam kutoka jamii na rangi zote ikiwemo Afrika.
 
Back
Top Bottom