Mnataka muongee walokole tu lugha mpya mkishukiwa na roho mtakatifu , sisi waislamu tukiongee kiarabu tatizoKilekile alichokisema mtume Mohamed ukikisema kwa kipare hawakuamuni. Utasikia wamaata shaaula alaknau waakadari....tuutenmuuka mantashariii.
๐๐๐๐๐Kilekile alichokisema mtume Mohamed ukikisema kwa kipare hawakuamuni. Utasikia wamaata shaaula alaknau waakadari....tuutenmuuka mantashariii.
Qurโan 109
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Mwarabu kakudanganya uwaite Waafrika wenzako makafiriQurโan 109
1. Sema: Enyi makafiri!
2. Siabudu mnacho kiabudu;
3. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
4. Wala sitaabudu mnacho abudu.
5. Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
6. Nyinyi mna dini yenu, nami nina Dini yangu.
Mwarabu kakudanganya uwaite Waafrika wenzako makafiri
Huu, licha ya kuwa uzezeta na uzwazwa, huitwa utumwa wa kiakili wa kujitakia.Kilekile alichokisema mtume Mohamed ukikisema kwa kipare hawakuamuni. Utasikia wamaata shaaula alaknau waakadari....tuutenmuuka mantashariii.