Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Heche ndiye mbunge wetu wa kudumu, maana hapa kwetu tulisha kula kiapo kuwa ccm kamwe haita tuongoza.
In God we Trust
Heche Jiandae kuachia jimbo
In God we Trust
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heche Jiandae kuachia jimbo
Heche harudi hata kwa dawa!
Alafu alishaambiwa ajiandae kutembeza mayai hapo ukonga
Wewe binti mbona hujielewi? Umetokea wapi?
Asante Mungu kwa kukurudishia ufahamu wakoCCM wanamuogopa sana Mwita Waitara.
Ameanza kampeni kabla ya wakati lakini si Dr Bashiru wala Komredi Polepole mwenye ujasiri hata wa kumuonya tu.
Labda tuwasubiri Takukuru maana huko kwa wazee wa mila anapelekwa na gari ya serikali inayoendeshwa na dereva wa serikali.
Hahahaaaa........mmawia upo?Asante Mungu kwa kukurudishia ufahamu wako
In God we Trust
Huyo afai ameshindwa ukonga akiwa chadema ameshindwa akiwa ccm tena akiwa ukonga jikoni na ikulu ndo ataweza tarime barazani.Hali ya Mwita Waitara katika jimbo la Tarime Vijijini imezidi kuwa mbaya sana na hivi sasa amezidi kuishiwa pumzi. Katika hali isiyo ya kawaida imebidi aende kushitaki kwa Wazee wa kimila wa koo ya Wairegi kuhusu watu wanaompinga wanaotokana na koo hiyo.
Kwanza ameonyesha ubaguzi wa koo kuwa yeye lazima aungwe mkono na watu wote wanaotoka katika koo yake ya Wairegi.
Lakini hiyo ni tabia yake ya muda wote, ni MBAGUZI.
IFUATAYO NI MESEJI ALIYOANDIKA RUSTER NYAIKOBA KATIKA KUNDI LA KURYA WHATSAAP GROUP BAADA YA KUPIGIWA NA MMOJA WA WAZEE HAO, NAOMBA UISOME:-
Leo nimepigiwa simu na Mzee mmoja wa Kimira akitaka Maelezo kwa nini tunampinga Waitara.
Nikamuuliza nani amekwambia kuwa Ruster,Ngemo,Martin,Gichogo,Gasaya na Bisendo tunampinga NW?..Akaniambia kuwa Waitara alienda kwao kutoa Malalamiko.
Nikamuuliza amewahi kuwaambia alichotufanyia Wakurya hapa Ukonga?.Akasema wanaskia Tetesi.
Nikamuuliza upo Tayari nikulipie Tiketi uje Ukonga kwa Niaba ya Kimira ili ujue Mapungufu ya huyo Waitara?..Akasema yupo Tayari.
Kwa Taarifa Waitara ameomba tuitwe haraka sana na Wazee ili tusiendelee kumharibia Kampeni za kuwa Mbunge Tarime Vijijni.Hata hivyo kwa Niaba ya wenzangu nimetoa Maelezo ya kushiba kwa Mzee huyo,ambaye pia ameonesha Maskitiko mkubwa.
Aidha nimemwambia hakuna siku tutamuunga Waitara Mkono kwa kuwa tunajua Madhaifu anayetoka kuleta Tarime V.
Nikamkumbusha kuwa mimi ni Mwanachadema,hivyo nina haki ya kumpinga Mwanaccm yeyote hata kama ni Mzee Wangu.Finaly nikamwambia tupo Tayari kujieleza,hivyo Waitara atitumie Tiketi ya Ndege kwenda na kurudi Dar..
Nikasisitiza hiki ni Kipindi cha Corona,hivyo hatutahitaji kusafiri na Mabasi..Nimemshangaa sana Mh.Waitara.
Kuna siku ataenda kumshitaki Aloyce Nyanda wa Star TV kwa Wazee wa Kimira,sio kwa Akili hizi.
Baiskeli alishaiuzaAlafu alishaambiwa ajiandae kutembeza mayai hapo ukonga
Anaweza akasaidiwa na polisi ushindi lkn itabidi aishi darHeche Jiandae kuachia jimbo
Takukuru haiwezi fanya kazi bila maagizoCCM wanamuogopa sana Mwita Waitara.
Ameanza kampeni kabla ya wakati lakini si Dr Bashiru wala Komredi Polepole mwenye ujasiri hata wa kumuonya tu.
Labda tuwasubiri Takukuru maana huko kwa wazee wa mila anapelekwa na gari ya serikali inayoendeshwa na dereva wa serikali.
Hali ya Mwita Waitara katika jimbo la Tarime Vijijini imezidi kuwa mbaya sana na hivi sasa amezidi kuishiwa pumzi. Katika hali isiyo ya kawaida imebidi aende kushitaki kwa Wazee wa kimila wa koo ya Wairegi kuhusu watu wanaompinga wanaotokana na koo hiyo.
Kwanza ameonyesha ubaguzi wa koo kuwa yeye lazima aungwe mkono na watu wote wanaotoka katika koo yake ya Wairegi.
Lakini hiyo ni tabia yake ya muda wote, ni MBAGUZI.
IFUATAYO NI MESEJI ALIYOANDIKA RUSTER NYAIKOBA KATIKA KUNDI LA KURYA WHATSAAP GROUP BAADA YA KUPIGIWA NA MMOJA WA WAZEE HAO, NAOMBA UISOME:-
Leo nimepigiwa simu na Mzee mmoja wa Kimira akitaka Maelezo kwa nini tunampinga Waitara.
Nikamuuliza nani amekwambia kuwa Ruster,Ngemo,Martin,Gichogo,Gasaya na Bisendo tunampinga NW?..Akaniambia kuwa Waitara alienda kwao kutoa Malalamiko.
Nikamuuliza amewahi kuwaambia alichotufanyia Wakurya hapa Ukonga?.Akasema wanaskia Tetesi.
Nikamuuliza upo Tayari nikulipie Tiketi uje Ukonga kwa Niaba ya Kimira ili ujue Mapungufu ya huyo Waitara?..Akasema yupo Tayari.
Kwa Taarifa Waitara ameomba tuitwe haraka sana na Wazee ili tusiendelee kumharibia Kampeni za kuwa Mbunge Tarime Vijijni.Hata hivyo kwa Niaba ya wenzangu nimetoa Maelezo ya kushiba kwa Mzee huyo,ambaye pia ameonesha Maskitiko mkubwa.
Aidha nimemwambia hakuna siku tutamuunga Waitara Mkono kwa kuwa tunajua Madhaifu anayetoka kuleta Tarime V.
Nikamkumbusha kuwa mimi ni Mwanachadema,hivyo nina haki ya kumpinga Mwanaccm yeyote hata kama ni Mzee Wangu.Finaly nikamwambia tupo Tayari kujieleza,hivyo Waitara atitumie Tiketi ya Ndege kwenda na kurudi Dar..
Nikasisitiza hiki ni Kipindi cha Corona,hivyo hatutahitaji kusafiri na Mabasi..Nimemshangaa sana Mh.Waitara.
Kuna siku ataenda kumshitaki Aloyce Nyanda wa Star TV kwa Wazee wa Kimira,sio kwa Akili hizi.
HahahahaDuuu na ulevi ule atapata faida kweli?
In God we Trust
Unacheka nini wakati umeulizwa swali?tuambie kama unajitambua au la?Hahahha
Hahahaha!!!! Mtamuuwa Kwa pressure nyieToka lini mtu mpita njia akachinjiwa kuku? Tutampa maji ya kunywa aendelee na safari yake ya kutangatanga
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahhaMwisho wake utakuwa kwenye kura za maoni.....
Mbeleko kama ya ukonga haipo tena!!
AWewe binti mbona hujielewi? Umetokea wapi?