Uchaguzi 2020 Mwita Waitara achanganyikiwa, awashtaki wanaompinga kwa wazee wa kimila wa koo yake

Uchaguzi 2020 Mwita Waitara achanganyikiwa, awashtaki wanaompinga kwa wazee wa kimila wa koo yake

Akakune Nazi hatumtaki huku tarime
Wenzake hao
tapatalk_1582041886263.jpeg

Sent by IPhone
 
Kuna ukabila, yaani kila kabila kujiona bora kuliko kabila jingine, ila Wakurya huwa mnabaguana wenyewe kwa wenyewe kabila moja koo tofauti.

Kunguni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Heche atapambana na mtu wa CCM lakini jina la mtu wa CCM muulize NAMBA TATU akitaja Waitara basi ndo huyo.
 
Tarime V.ni jimbo la upinzani hivyo kwa mtia nia wa chama tawala fujo ruksa anytime
CCM wanamuogopa sana Mwita Waitara.

Ameanza kampeni kabla ya wakati lakini si Dr Bashiru wala Komredi Polepole mwenye ujasiri hata wa kumuonya tu.

Labda tuwasubiri Takukuru maana huko kwa wazee wa mila anapelekwa na gari ya serikali inayoendeshwa na dereva wa serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wanamuogopa sana Mwita Waitara.

Ameanza kampeni kabla ya wakati lakini si Dr Bashiru wala Komredi Polepole mwenye ujasiri hata wa kumuonya tu.

Labda tuwasubiri Takukuru maana huko kwa wazee wa mila anapelekwa na gari ya serikali inayoendeshwa na dereva wa serikali.
Labda wañamuacha abwabwaje kwani wanakuja mkata juu kwa juu
 
Watu wa Tarime sio wajinga kama anavyo fikiri Waitara. Kwani wao hawaoni jinsi majimbo mengi nchini wanavyo tamani kuwa na mbunge jasiri kama Heche?
Katika dunia ya Leo nani anataka kuwa na mwakilishi mdebwedo na anaye ishi kwa kujikomba badala ya kusema ukweli bila woga?
 
Kazi anayo tena pevuuuuuu
 
Hivi huyo mwendawazimu anafanya shughuli zake za unaibu waziri!? Maaana kila siku kelele huko Tarime.
 
Hali ya Mwita Waitara katika jimbo la Tarime Vijijini imezidi kuwa mbaya sana na hivi sasa amezidi kuishiwa pumzi. Katika hali isiyo ya kawaida imebidi aende kushitaki kwa Wazee wa kimila wa koo ya Wairegi kuhusu watu wanaompinga wanaotokana na koo hiyo.

Kwanza ameonyesha ubaguzi wa koo kuwa yeye lazima aungwe mkono na watu wote wanaotoka katika koo yake ya Wairegi.

Lakini hiyo ni tabia yake ya muda wote, ni MBAGUZI.

IFUATAYO NI MESEJI ALIYOANDIKA RUSTER NYAIKOBA KATIKA KUNDI LA KURYA WHATSAAP GROUP BAADA YA KUPIGIWA NA MMOJA WA WAZEE HAO, NAOMBA UISOME:-

Leo nimepigiwa simu na Mzee mmoja wa Kimira akitaka Maelezo kwa nini tunampinga Waitara.

Nikamuuliza nani amekwambia kuwa Ruster,Ngemo,Martin,Gichogo,Gasaya na Bisendo tunampinga NW?..Akaniambia kuwa Waitara alienda kwao kutoa Malalamiko.

Nikamuuliza amewahi kuwaambia alichotufanyia Wakurya hapa Ukonga?.Akasema wanaskia Tetesi.

Nikamuuliza upo Tayari nikulipie Tiketi uje Ukonga kwa Niaba ya Kimira ili ujue Mapungufu ya huyo Waitara?..Akasema yupo Tayari.

Kwa Taarifa Waitara ameomba tuitwe haraka sana na Wazee ili tusiendelee kumharibia Kampeni za kuwa Mbunge Tarime Vijijni.Hata hivyo kwa Niaba ya wenzangu nimetoa Maelezo ya kushiba kwa Mzee huyo,ambaye pia ameonesha Maskitiko mkubwa.

Aidha nimemwambia hakuna siku tutamuunga Waitara Mkono kwa kuwa tunajua Madhaifu anayetoka kuleta Tarime V.

Nikamkumbusha kuwa mimi ni Mwanachadema,hivyo nina haki ya kumpinga Mwanaccm yeyote hata kama ni Mzee Wangu.Finaly nikamwambia tupo Tayari kujieleza,hivyo Waitara atitumie Tiketi ya Ndege kwenda na kurudi Dar..

Nikasisitiza hiki ni Kipindi cha Corona,hivyo hatutahitaji kusafiri na Mabasi..Nimemshangaa sana Mh.Waitara.

Kuna siku ataenda kumshitaki Aloyce Nyanda wa Star TV kwa Wazee wa Kimira,sio kwa Akili hizi.
Wewe ni Chadema. Badala ya kufurahia Waitara anaenda Tarime Vijijini ili akashindwe vibaya na Chadema, we we unakuja kuliakulia humu.
 
Wewe ni Chadema. Badala ya kufurahia Waitara anaenda Tarime Vijijini ili akashindwe vibaya na Chadema, we we unakuja kuliakulia humu.
Uelewa wako ni level ya gongo, sio walau K Vant anayokunywa Waitara
 
Uelewa wako ni level ya gongo, sio walau K Vant anayokunywa Waitara
Nakunywa K Vant sana tu. Kwenye gongo, nakunywa ile ya kwetu Bukoba "Enkonyagi Super". Huyo Waitara niliishawahi kunywa naye K Vant kama mara tatu hivi pale Passion Motel, Nyegezi Stand enzi hizo akiwa na gari la M4C. Hivyo mtani, ACHA KULIALIA!!!
 
Back
Top Bottom