Uchaguzi 2020 Mwita Waitara achanganyikiwa, awashtaki wanaompinga kwa wazee wa kimila wa koo yake

Asante Mungu kwa kukurudishia ufahamu wako

In God we Trust
 
Huyo afai ameshindwa ukonga akiwa chadema ameshindwa akiwa ccm tena akiwa ukonga jikoni na ikulu ndo ataweza tarime barazani.
Arudie tu kazi yake ya awali
 
Takukuru haiwezi fanya kazi bila maagizo
 
Huyu Ni miongoni mwa walioanza kampeni mapema sana, pia kawakimbia wakazi Wa ukonga hata kabla muda hajamaliza.
 
Bila shaka wewe ni brother Nyaikoba?Ndaki huyu!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwisho wake utakuwa kwenye kura za maoni.....

Mbeleko kama ya ukonga haipo tena!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…