PostGE2025 Mwita Waitara ala kiapo bungeni tayari kuwatumikia wananchi wa Tarime vijijini

PostGE2025 Mwita Waitara ala kiapo bungeni tayari kuwatumikia wananchi wa Tarime vijijini

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mbunge Mteule wa Jimbo la Tarime Vijijini Mwita Waitara wa Chama cha Mapinduzi (CCM) rasmi le amekula kiapo leo Novemba 12, 2025 katika bunge la 13 Mkutao wa kwanza kikao cha pili kwenye viwanja vya bunge Dodoma, ikiwa ni ishara ya utayari kutumikia wananchi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Ikumbukwe Jimbo la Tarime Vijini Lililopo Mkoa wa Mara ni miongoni mwa Majimbo kumi ambayo Chama cha Mapinduzi (CCM) ilishinda ubunge majimbo yote kumi tofauti na hapo awali Mkoa wa Mara ulikuwa ni ukanda wa Upinzani lakini kutokana na Uchaguzi batili wa Oktoba 29, 2025 Chama tawala CCM imeweza kuteka majimbo yote kumi


 
Back
Top Bottom