Rita watakujibu.Unaposajili kanisa unaambatanisha katiba ya kanisa na huduma utakayotoa.Amevunja sheria gani?
Hata waking'oana meno hiyo ni juu yao,sisi watuletee katiba mpya tu.Gwajima yawezekana ana hoja ya msingi, CCM wamjibu badala ya kumtisha tisha.