Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

Mwita Waitara amshukia Askofu Gwajima, amtaka aache siasa kwenye mambo ya afya za wananchi au ajivue ubunge kama hakubaliani na serikali

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535
IMG_20210811_143753.jpg

Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
 
Hebu turudi nyuma kwanza.

Kwani Gwajima alikuwa anatoa statements zake kwenye majukwaa ya kisiasa au kikanisa?

Kwa kadiri ilivyokuwa, Gwajima alikuwa akihubiria waumini wake na si vinginevyo, yaani alikuwa anayoa msimamo wa kanisa lake yeye akiwa kama kiongozi wao.
 
Waziri wa mambo ya ndani ndiye mwenye dhamana yakumdhibiti Gwajiboy kutumia kanisa kupotosha/kutopotosha sayansi.

Mwita ni mwanasiasa MALAYAMALAYA.

2025 Wote waliounga juhudi wamfuate dalali wao
 
Waziri wa mambo ya ndani ndiye mwenye dhamana yakumdhibiti Gwajiboy kutumia kanisa kupotosha/kutopotosha sayansi.

Mwita ni mwanasiasa MALAYAMALAYA.
2025 Wote waliounga juhudi wamfuate dalali wao
Amevunja sheria gani?
 
Amevunja sheria gani?
Rita watakujibu.Unaposajili kanisa unaambatanisha katiba ya kanisa na huduma utakayotoa.

Rita hawajaamua tu.

Chanjo sio issue ya kidini.

Chanjo ni issue ya kitaifa kwa hiari siyo yeye atumie mimbara kuchochea.

Jukwaaa sahihi la Gwaji nikuongelea nje ya kanisa na anahaki hiyo kwakuwa ni mbunge.
 
Mwita kwa nini anajiingiza kwenye mambo yasiyomhusu!!
 
Yeye kasema anaongea na waumini wake sasa kwa nn yeye mmpangie cha kusema huku wengine hamuwapangii?

Je, wale wanaohimiza chanjo hizo kwa waumini wao kwenye hizo katiba za makanisa yao kipo hiko kipengele? Kwanza ni hiari sasa hapo wapi kapingana na serikali?
 
Back
Top Bottom