Namni Tunisia huyu mlevi, subiri jumapili utatafuta pa kujificha. Waitara unaweza kuwa unatetea serikali kwa kuwa wewe ni sehemu ya hiyo,lakini Askofu yupo na wapiga kura wake,na kondoo wakeKazi ya mbunge ni tofauti na kazi ya waziri! Waziri anabanwa na kanuni ya uwajibikaji wa pamoja!! Waziri ni sehemu ya serikali!! Lakini mbunge kazi yake ni kuihoji serikali na kuisimamia!! Si kuiunga mkono kwa kila kitu!! Huyu watara ni tara kweli!!! Nashangaa kuwa hajui kanuni hii ya msingi atajuaje mengine?
Samia na watu wake wanatakiwa kuhojiwa kwa kitendo cha kumsaliti Rais Magufuli ndani ya muda mfupi sana tangu umauti umchukue
Huyu ameshiba, wanasiasa wanashindwa kuelewa kuwa mchungaji Gwajima ni mwanasiasa na pia ni daktari wa kiroho.Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Mbona wanaoitetea chanjo hamsemi wanachochea watu wacchanjwe?Chanjo ni issue ya kitaifa kwa hiari siyo yeye atumie mimbara kuchochea.
wapuuzi wote hawa
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.
Wote ni matapeli tupuHuyu ameshiba, wanasiasa wanashindwa kuelewa kuwa mchungaji Gwajima ni mwanasiasa na pia ni daktari wa kiroho.
Wao wanaangalia madhara ya mwili tu wakati Gwajima anaenda mbali zaidi anaangalia madhara ya mwilini na rohoni.
Wapo wagonjwa wa imani zote wanashindikana kupona hospitalini wanapelekwa kanisani na wanapona, hapo mbona hawajawahi
kusema chochote?
Kumbe sasa ndo nimeelewa ni kwa nini rais Magufuli alisema ''kawe nileteeni gwajima''.
Alijua kuna siku wengine aliowapa mpaka uwaziri watamsaliti atabaki na gwajima.
Sijui inakuaje mpaka kokoto inakuwa kiongozi!! Nilidhani gold kumbe kibongo hata dongo linakuwa kiongozi
Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara amemtaka Askofu Josephat Gwajima asichanganye siasa kwenye mambo ya msingi na yanayohusu afya za Watanzania. Amesema kama hakubaliani na viongozi wake, basi ajivue ubunge kwani hakuna sababu ya kutumikia mabwana wawili.