Huyu ameshiba, wanasiasa wanashindwa kuelewa kuwa mchungaji Gwajima ni mwanasiasa na pia ni daktari wa kiroho.
Wao wanaangalia madhara ya mwili tu wakati Gwajima anaenda mbali zaidi anaangalia madhara ya mwilini na rohoni.
Wapo wagonjwa wa imani zote wanashindikana kupona hospitalini wanapelekwa kanisani na wanapona, hapo mbona hawajawahi
kusema chochote?
Kumbe sasa ndo nimeelewa ni kwa nini rais Magufuli alisema ''kawe nileteeni gwajima''.
Alijua kuna siku wengine aliowapa mpaka uwaziri watamsaliti atabaki na gwajima.