Hawa jamaa anajitoa ufahamu kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi nguvu mnazotumia kwa wapinzani mngehamishia kwenye Korona, huenda watu wasingekufa kiasi hiki!Nilimwambia meya wa ubungo asiende ofisni akapuuzia
Wacha yamkute maana alijifanya kubweka sanaYaani kuna watu walizaliwa kabisa ili kulitumbukiza Taifa kwenye visasi na chuki. Hawakuletwa kwa jambo lolote lingine. Sijui ndani ya mioyo yao wanawaza nini sijui.
Waitara, siku moja jifungie chumbanii peke yako tafakari sana maneno na maamuzi yako. Kaa kimya hata saa nzima ukiwa peke yako kabisa chambua madhara unayoweza/unayotaka kulitumbukiza Taifa wewe as a person.
Unavuruga huko ccm ulikoenda, unavurga Taifa, hebu jiulize dhamira ya wewe kuzaliwa Tanzania alafu muombe Mungu wako yoyote unaemuamini akupe wepesi.
Mkuu nakosa cha kuandika aisee, yaani mtu mmoja ale rushwa huko avunje utaratibu halafu watu na mavipara yao wanabariki, mnatengeneza chuki zisizo na msingiWaziri kaongea vizuri sana. Short and clear.
Propaganda za kupotosha mitandaoni waachie wahusika.
Kuku ni kuku tu, akili za kuku hizi
Chadema watubu ,kuna sehemu wamekiuka miiko,sio bure,wanasambaratika hivi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya.
"Nimeiona barua ya Chadema, nimeona barua aliyowajibu Mkurugenzi wa Manispaa, nimesikia saiti ya Mnyika akizungumzia suala hilo, niseme tu kwamba si kazi ya Mkurugenzi kusoma na kuelewa katiba ya Chadema inasemaje, ameshapokea barua ya Chadema na akawajibu kwa maandishi kuridhia maamuzi yao, ameshamaliza kazi yake, wala wasitegemee ataandika batua ya kukanusha, hivyo Jacob si meya tena wa Ubungo.
Kama anaona haikuwa halali aandike barua kwa waziri mwenye dhamana kuomba marejeo, waziri atapitia na kutoa majibu au aende mahakamani," amesema Waitara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijui kama unajua maana ya short and clear au kwa neno moja ni brief.Waziri kaongea vizuri sana. Short and clear.
Propaganda za kupotosha mitandaoni waachie wahusika.
Kumbe wewe ndiye Waitara? Hata kama siyo wewe lakini naona kuna vitu mnafanana uko kwa mkichwa.Nilimwambia meya wa ubungo asiende ofisni akapuuzia
Mkurugenzi ameishichukulia kama barua halali toka CHADEMA na ameshaifanyia kazi.Mkuu sijui kama unajua maana ya short and clear au kwa neno moja ni brief.
1.Barua amekuandikia mkurugenzi utaendaje kuomba ufafanuzi wa kosa kwa waziri kama barua ni fake?
2. Barua imeandikwa na Chadema hivyo hata mahakamani wa kuthibitisha kuwa ni halali ni CDM sio mkurugenzi au waziri. Mkurugenzi anachoweza kuthibitisha ni kafanyia kazi fake letter.
Hata hivyo, nisiwemchoyo wa pongezi, nampongeza sana waziri kwa kuchukua hatua itakayopunguza janga hili la korona.
Kwanamna CCM wanavyoendesha nchi visasi haviepukikiNa baada ya kuyafanya hayo then kesho yake watawaambia wananchi tuwe wazalendo kwa taifa letu,tutangulize maslahi ya nchi mbele,maendeleo hayana chama.
Mbona unakua mjinga kiasi hiki?Mkurugenzi ameishichukulia kama barua halali toka CHADEMA na ameshaifanyia kazi.
Suluhisho siyo mayor au aliyekuwa mayor kuingia ofisini kinguvu! Nakubaliana na Waziri kwamba kwa mujibu wa taratibu, kuna option 2; Kukata rufaa kwa Waziri au kwenda mahakamani.
Waitara hana tofauti na kiazi kikicho kutana na jiwe. The most hopeless person