Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanaharibu nchi big time.Kwanamna CCM wanavyoendesha nchi visasi haviepukiki
Something is fishy,Mkuu sijui kama unajua maana ya short and clear au kwa neno moja ni brief.
1.Barua amekuandikia mkurugenzi utaendaje kuomba ufafanuzi wa kosa kwa waziri kama barua ni fake?
2. Barua imeandikwa na Chadema hivyo hata mahakamani wa kuthibitisha kuwa ni halali ni CDM sio mkurugenzi au waziri. Mkurugenzi anachoweza kuthibitisha ni kafanyia kazi fake letter.
Hata hivyo, nisiwemchoyo wa pongezi, nampongeza sana waziri kwa kuchukua hatua itakayopunguza janga hili la korona.
Katangaza kutogombea udiwani au kajivua uanachama? Unachosema hapo huna tofauti na Waitara, wote mnatazama kwa kuegemea itikadi za kisiasa.Something is fishy,
Meya Boniface aliandika kwenye mtandao kuwa hatagombea tena udiwani.
Siku chache baadae Chadema inatuma barua kwa Mkurugenzi ya kumfuta kazi Boniface, lakini Boniface anakuja na mtu aliyesadikiwa kuwa ndie alieandika barua na kukanusha kuwa sahihi ni ya kugushi.
Hapa kuna mchezo ndani ya Chadema yenyewe.
Hii ilikuwa plot tangu mwanzo. Hii ya mkurugenzi kusema alikosea; na ataandika barua nyingine ilikuwa magumashi tu.Inaonekana Ni mipango.Waziri anamlinda mkurugenzi aliyefanyia kazi barua ya kufoji
My bet: Nadhani Jacob ana mpango wa kugombea ubunge Ubungo. Kitakachotokea ni kuwekewa pingamizi kwamba sio mwanachama halali wa chadema. Halafu mkurugenzi atatoa ile barua fake kuonyesha jamaa alishafutwa uanachama.Something is fishy,
Meya Boniface aliandika kwenye mtandao kuwa hatagombea tena udiwani.
Siku chache baadae Chadema inatuma barua kwa Mkurugenzi ya kumfuta kazi Boniface, lakini Boniface anakuja na mtu aliyesadikiwa kuwa ndie alieandika barua na kukanusha kuwa sahihi ni ya kugushi.
Hapa kuna mchezo ndani ya Chadema yenyewe.
Hizi ni comedy za kuua so ya hotuba mbovu za boss wao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya.
"Nimeiona barua ya Chadema, nimeona barua aliyowajibu Mkurugenzi wa Manispaa, nimesikia saiti ya Mnyika akizungumzia suala hilo, niseme tu kwamba si kazi ya Mkurugenzi kusoma na kuelewa katiba ya Chadema inasemaje, ameshapokea barua ya Chadema na akawajibu kwa maandishi kuridhia maamuzi yao, ameshamaliza kazi yake, wala wasitegemee ataandika batua ya kukanusha, hivyo Jacob si meya tena wa Ubungo.
Kama anaona haikuwa halali aandike barua kwa waziri mwenye dhamana kuomba marejeo, waziri atapitia na kutoa majibu au aende mahakamani," amesema Waitara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe bia yako mbona mawazo yako ni ya ajabu? Mboa unafurahia kupanda hasira na visasi ndani ya nchi hii?Nilimwambia meya wa ubungo asiende ofisni akapuuzia
Alisema hatagombea udiwani, hayo ni maneno ya BonifaceKatangaza kutogombea udiwani au kajivua uanachama? Unachosema hapo huna tofauti na Waitara, wote mnatazama kwa kuegemea itikadi za kisiasa.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
My bet: Nadhani Jacob ana mpango wa kugombea ubunge Ubungo. Kitakachotokea ni kuwekewa pingamizi kwamba sio mwanachama halali wa chadema. Halafu mkurugenzi atatoa ile barua fake kuonyesha jamaa alishafutwa uanachama.
Siasa chafu hizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya.
"Nimeiona barua ya Chadema, nimeona barua aliyowajibu Mkurugenzi wa Manispaa, nimesikia saiti ya Mnyika akizungumzia suala hilo, niseme tu kwamba si kazi ya Mkurugenzi kusoma na kuelewa katiba ya Chadema inasemaje, ameshapokea barua ya Chadema na akawajibu kwa maandishi kuridhia maamuzi yao, ameshamaliza kazi yake, wala wasitegemee ataandika batua ya kukanusha, hivyo Jacob si meya tena wa Ubungo.
Kama anaona haikuwa halali aandike barua kwa waziri mwenye dhamana kuomba marejeo, waziri atapitia na kutoa majibu au aende mahakamani," amesema Waitara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri waitara ndiye waziri mjinga kupata kutoa TanzaniaCCM hii ni mbaya kuliko mkoloni
Kwani hamna kazi zingine zaidi ya umeya? Mbona sisi tunalima?Wewe bia yako mbona mawazo yako ni ya ajabu? Mboa unafurahia kupanda hasira na visasi ndani ya nchi hii?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya.
"Nimeiona barua ya Chadema, nimeona barua aliyowajibu Mkurugenzi wa Manispaa, nimesikia saiti ya Mnyika akizungumzia suala hilo, niseme tu kwamba si kazi ya Mkurugenzi kusoma na kuelewa katiba ya Chadema inasemaje, ameshapokea barua ya Chadema na akawajibu kwa maandishi kuridhia maamuzi yao, ameshamaliza kazi yake, wala wasitegemee ataandika batua ya kukanusha, hivyo Jacob si meya tena wa Ubungo.
Kama anaona haikuwa halali aandike barua kwa waziri mwenye dhamana kuomba marejeo, waziri atapitia na kutoa majibu au aende mahakamani," amesema Waitara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shatani yupo CCM kaamua watu wafurike misikitini makanisani waambukizane wafe kwa wingi wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuuNo wonder maambukizi yanaongezeka baada ya sala za kitaifa maana tumeiacha njia ya haki.
Kazi zingine zipo lakini kuachishwa umeya kishetani kijinga kwa barua za kugushi ni haki? Kuhujumu umeya kisa kuna kazi zingine ni halali?Kwani hamna kazi zingine zaidi ya umeya? Mbona sisi tunalima?
CCM wanataka wamtoe meya ili waweza kuiba kasima pesa zilizosalia kwenye bajeti ya manisipaa, wanajua akiwepo meya ni vigumu kuiba pesaKuna nini kinagombewa wakati uhai wa hilo baraza la madiwani umefikia ukingoni?