Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

Wacha yamkute maana alijifanya kubweka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri kaongea vizuri sana. Short and clear.
Propaganda za kupotosha mitandaoni waachie wahusika.
Mkuu nakosa cha kuandika aisee, yaani mtu mmoja ale rushwa huko avunje utaratibu halafu watu na mavipara yao wanabariki, mnatengeneza chuki zisizo na msingi
 
Chadema watubu ,kuna sehemu wamekiuka miiko,sio bure,wanasambaratika hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aende kwa Waziri watakwaa kisiki , waende mahakamani is compromised, najisikia kichefuchefu kumsikiliza Waitara, hajazaliwa kuwa kiongozi. Kuna siku nchi hii itashuhudia visasi vya ajabu bila kujali ukomo wa muda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waziri kaongea vizuri sana. Short and clear.
Propaganda za kupotosha mitandaoni waachie wahusika.
Mkuu sijui kama unajua maana ya short and clear au kwa neno moja ni brief.

1.Barua amekuandikia mkurugenzi utaendaje kuomba ufafanuzi wa kosa kwa waziri kama barua ni fake?

2. Barua imeandikwa na Chadema hivyo hata mahakamani wa kuthibitisha kuwa ni halali ni CDM sio mkurugenzi au waziri. Mkurugenzi anachoweza kuthibitisha ni kafanyia kazi fake letter.

Hata hivyo, nisiwemchoyo wa pongezi, nampongeza sana waziri kwa kuchukua hatua itakayopunguza janga hili la korona.
 
Mkurugenzi ameishichukulia kama barua halali toka CHADEMA na ameshaifanyia kazi.

Suluhisho siyo mayor au aliyekuwa mayor kuingia ofisini kinguvu! Nakubaliana na Waziri kwamba kwa mujibu wa taratibu, kuna option 2; Kukata rufaa kwa Waziri au kwenda mahakamani.
 
Hapo hapo Jiwe anasema mumuombee.. Tena anakashifu viongozi wa dini..
 
Na baada ya kuyafanya hayo then kesho yake watawaambia wananchi tuwe wazalendo kwa taifa letu,tutangulize maslahi ya nchi mbele,maendeleo hayana chama.
Kwanamna CCM wanavyoendesha nchi visasi haviepukiki
 
Mbona unakua mjinga kiasi hiki?

Sasa hapo kosa ni la mkurugenzi au kosa la Chadema, Chadema wakate rufaa kwa kipi hasa?

Mpaka mda huu Mkurugenzi ilitakiwa awe amejiudhuru kwa Uzembe na mkurupuko aliofanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waitara hana tofauti na kiazi kikicho kutana na jiwe. The most hopeless person

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…