Ukisoma between the lines utagundua hadi wewe mwandishi huamini kama alishinda kihalali.Nani kasema?
Huo ndiyo umati? Hao ni wana ukoo wake tu. Huyu alipewa ubunge wa kura za kwenye mabegi. Magufuli alituharibia Taifa letu sana asante Mungu kumuondoa kwenye uso wa nchiMbunge wa tarime vijijini na naibu waziri wa ujenzi amelakiwa na wapiga kura wake huku wakisema ni mbunge wa kuigwa na kutiliwa mfano, tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema. Hii ni uthibitisho kuwa ushawishi wake na nguvu zake kisiasa ziliisambaratisha ngome ya Chadema
View attachment 1755278View attachment 1755280View attachment 1755281
Kweli aseeUkisoma between the lines utaona kumbe hadi wewe huamini kama alishinda kihalali.
Hahahahaaa kweli apokelewa na mamia.Ukisoma between the lines utaona kumbe hadi wewe huamini kama alishinda kihalali.
Chadema inahusikaje na uwongo wako?Hilo ndio tatizo la Chadema.
hapo hata 500 hawafiki.Mbunge wa tarime vijijini na naibu waziri wa ujenzi amelakiwa na wapiga kura wake huku wakisema ni mbunge wa kuigwa na kutiliwa mfano, tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema. Hii ni uthibitisho kuwa ushawishi wake na nguvu zake kisiasa ziliisambaratisha ngome ya Chadema
View attachment 1755278View attachment 1755280View attachment 1755281
Waitara hajawahi kukubalika Tarime since 2010 alinyimwa ubunge hta bila kura kuibwa tukapoteza jimbo kwa poor strategy na kampeni za kikoo.Mbunge wa tarime vijijini na naibu waziri wa ujenzi amelakiwa na wapiga kura wake huku wakisema ni mbunge wa kuigwa na kutiliwa mfano, tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema. Hii ni uthibitisho kuwa ushawishi wake na nguvu zake kisiasa ziliisambaratisha ngome ya Chadema
View attachment 1755278View attachment 1755280View attachment 1755281
Kila uchaguzi? Tarime miaka yote ni ngome ya upinzani tokea miaka ya 90 hilo lipo wazi.... Hilo jimbo CCM walibeba 2010 na kelele zikawa nyingi sana ila 2015 likagawanywa na bado yakabebwa na upinzani na halmashauri ikabebwa.Maneno kama haya kila baada ya uchaguzi huwa lazima wapinzani wayatamke.