Mwita Waitara ashiriki uchaguzi wa ndani ngazi ya shina Tarime. Mahudhurio ni hafifu kabisa dah!

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
"Wenyeviti wa mashina na wajumbe wake ni watu muhimu sana kwa sababu wanakaa na wananchi, ndiyo wanaopokea changamoto na kutupa sisi taarifa kama viongozi wao hivyo tuendelee kushirikiana ili tuweze kuwaleta wananchi maendeleo" Mwita Waitara, mbunge wa himbo la Tarime vijijini.

 
Ccm imechokwa ikachakaaa🤣🤣🤣
 
Hili jamaa silipendi sana. Lilikuwa na maneno ya hovyo sana lilipoteuliwa kuwa linaibu waziri.
 
Uzuri ni kwamba miti imehudhuria 😁😁
 
Sijui kama ataendelea na Ubunge kuanzia 2025,aliyembeba amelala Chato
 
si atulie tu nyumbani acheze na wajukuu, zama zimebadilika....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…