MWITA WAITARA: SERIKALI ILITOA KIBALI CHA MKUTANO WA MASHOGA?

Mbunge Mwita waitara ahoji
All is rubbish, hiyo ndio ameona ni critical need ya watanganyika! Kutafuta kuonekana anatetea/anapinga kitu fulani. Kuna ya msingi ambayo ni concern kubwa ya Watanganyika kuliko hilo la mashoga. After all wao LGBTQ wanasema "My body my right"!

Mwita raise issue ya kutekwa watu, kuuawa, kupotea, and the like! hayo ndiyo ya msingi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…