MWITA WAITARA: SERIKALI ILITOA KIBALI CHA MKUTANO WA MASHOGA?

Iwe ilitoa au haikutoa, sherehe ilifanyika na ilifana kuliko ilivyotarajiwa.

Nikiwa km mwenyekiti wa kamati ya sherehe, nasemaje Jambo tulikua nalo na tulitamba nalo.

🔥🔥🔥🔥
Kama inafatwq sharia yaani islamic law chini ya makadhi , uchafu duniani ungalikuwa haupo..lkn tumeamua kufuata sheria tuliotunga wenyewe, haya twende
 
All is rubbish, hiyo ndio ameona ni critical need ya watanganyika! Kutafuta kuonekana anatetea/anapinga kitu fulani. Kuna ya msingi ambayo ni concern kubwa ya Watanganyika kuliko hilo la mashoga. After all wao LGBTQ wanasema "My body my right"!

Mwita raise issue ya kutekwa watu, kuuawa, kupotea, and the like! hayo ndiyo ya msingi!
Wananchi na raia wa hii nchi, wakiona mbunge anapinga kuhusu ushoga, wana muona ndio wa maana mno. Na wao wamejua hilo wanapiga humo humo.

Tatizo ni UJINGA na UMASKINI.
 
Iwe ilitoa au haikutoa, sherehe ilifanyika na ilifana kuliko ilivyotarajiwa.

Nikiwa km mwenyekiti wa kamati ya sherehe, nasemaje Jambo tulikua nalo na tulitamba nalo.

🔥🔥🔥🔥
Wewe ni kiaziii mbatata
 
Unafungia sites za porn halafu unaachia machoko yajimwayemwaye kama hivi.

BTW:Sijaona ***** mweusi kwenye hiyo clip!!
 
Vyote kwa pamoja. 😂😂😂
Kwa Jibu lako linamaanisha wewe ni shoga wa kike ambaye kwa jina lingine ni msagaji, Hilo linaweza lisiwe tabu saaana.

Unafurahishwa na nini kuona mwanaume hana haiba za kiume tena anakata viuno anachakatwa tigo na maupuuzi mengine yote wewe binafsi kama wa kike yanakunufaisha na nini hayoo?
 
Kwani wewe mwanaume hakiwa hana aiba ya kiume, akiliwa tigo, na maupuzi mengine, unapungukiwa na nini hayooo??
 
mimi binafsi sipungukiwi na jambo, lakini kimaadili, kiimani, utu, biolojia na nyanja nyingine za kifikra zinapingana na huo upuuzi.

wewe aujalelewa kwenye maadili na misingi ya imani, elimu kujua kama hayo maupuuzi sio jambo sahihi?

Au chizi anachekesha kama sio ndugu yako?
 
Duh kumbe haya madude yako mengi namna hiyo, yanaweza kukusanyika na kutamba hadharani namna hiyo na kukebehi kampeni ya dudu baya. Aisee kumbe kweli hali ni mbaya. Kwamba yanatangazia dunia kuwa yanarukiwa na kumwagiwa kwa nyuma, Mungu wangu.
 
All is rubbish, hiyo ndio ameona ni critical need ya watanganyika! Kutafuta kuonekana anatetea/anapinga kitu fulani. Kuna ya msingi ambayo ni concern kubwa ya Watanganyika kuliko hilo la mashoga. After all wao LGBTQ wanasema "My body my right"!

Mwita raise issue ya kutekwa watu, kuuawa, kupotea, and the like! hayo ndiyo ya msingi!

Watanganyika rahisi sana kuhadaiwa yani hapo Waitara ataonekana kaongea jambo la msingi sana kuliko mambo ya msingi. Ushoga ni personal issue na inaanza huko majumbani, malezi ni jukumu la wazazi halihitaji mkono wa serikali.
 
Duh kumbe haya madude yako mengi namna hiyo, yanaweza kukusanyika na kutamba hadharani namna hiyo na kukebehi kampeni ya dudu baya. Aisee kumbe kweli hali ni mbaya. Kwamba yanatangazia dunia kuwa yanarukiwa na kumwagiwa kwa nyuma, Mungu wangu.

Inashtua. Huko pwani watu hawalindi kabisa migongo. However, hii ishu inaanza at a family level ila serikali italaumiwa kwa malezi mabovu ya wazazi huko majumbani. Hakuna mtu anaanza kupasuliwa ukubwani, lazima alianza huko nyumbani.
 
mimi binafsi sipungukiwi na jambo, lakini kimaadili, kiimani, utu, biolojia na nyanja nyingine za kifikra zinapingana na huo upuuzi.

wewe aujalelewa kwenye maadili na misingi ya imani, elimu kujua kama hayo maupuuzi sio jambo sahihi?

Au chizi anachekesha kama sio ndugu yako?
Kumbe hupungukiwi kitu, basi achana na yasiyokuhuyu/wasio kuhusu, ukienda kwenye maadili utajikuta hata wewe hauko sahihi, unless uwe mbinafsi na MNAFIKI.
 
Watanganyika rahisi sana kuhadaiwa yani hapo Waitara ataonekana kaongea jambo la msingi sana kuliko mambo ya msingi. Ushoga ni personal issue na inaanza huko majumbani, malezi ni jukumu la wazazi halihitaji mkono wa serikali.
Bora useme wewe.
 
Back
Top Bottom