MWITA WAITARA: SERIKALI ILITOA KIBALI CHA MKUTANO WA MASHOGA?

Nimesikiliza hii video, jamaa anakiri kuharibiwa na mjomba wake kabisa yani mdogo wa mama yake mzazi nyumbani kwao. Ushoga siku zote unaanzia majumbani, kulaumu serikali au NGOs ni kutafuta a scapegoat. Malezi majumbani hayajitaji mkono wa serikali.

View attachment 3703983
Uko sahihi. Ila jambo lilifana sana.
 
Back
Top Bottom