Mwita Waitara: Serikali inaua wananchi wangu wa Tarime vijijini. Tume zinaundwa na hakuna majibu

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Namsikiliza mbunge wa Tarime vijijini ana hoja nzito juu ya raia ambao ni wananchi wa jimbo la Tarime vijijini anatoa ushahidi wa majina na ya raia waliopigwa risasi na waliouwawa na waliojeruhiwa.

Blah blah za George Simbachawene zikataka kumziba Waitara. Spika akaomba ushahidi juu ya tuhuma hizi. Mwita Waitara kasema anaoushahidi na atauwakilisha.

Migogoro ya ardhi kati ya wananchi jimbo lake na hifadhi ya Serengeti ni mkubwa. Na askari wa Tanapa wanatuhumiwa kuua raia wa wakazi wa Tarime vijijini.

Mwita anatakiwa kuwasilisha ushahidi ifikapo siku ya Jumanne.
 
Mbona yeye baada ya kununuliwa mnadani na yule mnunuzi maarufu wa binadamu hatukuwahi kumsikia kulalamika juu ya mauaji yaliyokuwa yakitekelezwa na yule mnunuzi kupitia genge lake la kina saa baya na kondakta maarufu.
 
Anaposema serikali imeua wananchi wake ana hakika hao askari wa wanyamapori wanaofanya hivyo wametumwa na serikali?

Kwangu hii ni sawa na yule kijana wa Babati aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, au yule wa Mtwara nae aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, halafu mtu aseme serikali imewaua, anyway ngoja apeleke ushahidi wake.

Natumai ofisi ya Spika haitauficha huo ushahidi kama kawaida yao, itauleta mbele ya umma kila mtanzania ajionee.
 
Huyu Aliyefika Bei Anahaha Sana

Mtu aliyewahi kuwa waziri anapoituhumu moja kwa moja serikali dhidi yamauaji yawanachi,tunaofikiria mbali tuna chakujifunza.
Ex-waziri means Ex-serikali
 
Anaposema serikali imeua wananchi wake ana hakika hao askari wa wanyamapori wanaofanya hivyo wametumwa na serikali?

Kwangu hii ni sawa na yule kijana wa Babati aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, au yule wa Mtwara nae aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, halafu mtu aseme serikali imewaua, anyway ngoja apeleke ushahidi wake.

Natumai ofisi ya Spika haitauficha huo ushahidi kama kawaida yao, itauleta mbele ya umma kila mtanzania ajionee.
Kwani Tanapa na Polisi ni vyombo vya nani?
 
Mbona yeye baada ya kununuliwa mnadani na yule mnunuzi maarufu wa binadamu hatukuwahi kumsikia kulalamika juu ya mauaji yaliyokuwa yakitekelezwa na yule mnunuzi wapitia genge lake la kina saa baya na kondakta maarufu.
Chadema kama kawaida yenu Bifu kwa kila aliewatema.
 
Anaposema serikali imeua wananchi wake ana hakika hao askari wa wanyamapori wanaofanya hivyo wametumwa na serikali?

Kwangu hii ni sawa na yule kijana wa Babati aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, au yule wa Mtwara nae aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, halafu mtu aseme serikali imewaua, anyway ngoja apeleke ushahidi wake.

Natumai ofisi ya Spika haitauficha huo ushahidi kama kawaida yao, itauleta mbele ya umma kila mtanzania ajionee.
Spika hajaomba ushahidi kwa nia ya kuuleta kwa umma.
Bali kwa ajili ya bunge kujiridhisha na kisha kuiwajibisha serikali.
 
Anaposema serikali imeua wananchi wake ana hakika hao askari wa wanyamapori wanaofanya hivyo wametumwa na serikali?

Kwangu hii ni sawa na yule kijana wa Babati aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, au yule wa Mtwara nae aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, halafu mtu aseme serikali imewaua, anyway ngoja apeleke ushahidi wake.

Natumai ofisi ya Spika haitauficha huo ushahidi kama kawaida yao, itauleta mbele ya umma kila mtanzania ajionee.
Askari anapossbabisha kifo chochote kisichotokana na hukumu ya Mahakama huyo kaua na kuvaa kwake crown maana yake serikali inawajibika
 
Back
Top Bottom