Watu wanampenda Sana Mwita,Acha uongo wako!Mwita ame-panic. Anajua hakubaliki tena kisiasa. Anatafuta pa kutokea kisiasa
Umeacha hoja zake za msingi umemu attack yeye,Mwita ame-panic. Anajua hakubaliki tena kisiasa. Anatafuta pa kutokea kisiasa
Kwani Tanapa na Polisi ni vyombo vya nani?Anaposema serikali imeua wananchi wake ana hakika hao askari wa wanyamapori wanaofanya hivyo wametumwa na serikali?
Kwangu hii ni sawa na yule kijana wa Babati aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, au yule wa Mtwara nae aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, halafu mtu aseme serikali imewaua, anyway ngoja apeleke ushahidi wake.
Natumai ofisi ya Spika haitauficha huo ushahidi kama kawaida yao, itauleta mbele ya umma kila mtanzania ajionee.
Chadema kama kawaida bifu kwa kila alie waacha.Mwita ame-panic. Anajua hakubaliki tena kisiasa. Anatafuta pa kutokea kisiasa
Chadema kama kawaida yenu Bifu kwa kila aliewatema.Mbona yeye baada ya kununuliwa mnadani na yule mnunuzi maarufu wa binadamu hatukuwahi kumsikia kulalamika juu ya mauaji yaliyokuwa yakitekelezwa na yule mnunuzi wapitia genge lake la kina saa baya na kondakta maarufu.
Spika hajaomba ushahidi kwa nia ya kuuleta kwa umma.Anaposema serikali imeua wananchi wake ana hakika hao askari wa wanyamapori wanaofanya hivyo wametumwa na serikali?
Kwangu hii ni sawa na yule kijana wa Babati aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, au yule wa Mtwara nae aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, halafu mtu aseme serikali imewaua, anyway ngoja apeleke ushahidi wake.
Natumai ofisi ya Spika haitauficha huo ushahidi kama kawaida yao, itauleta mbele ya umma kila mtanzania ajionee.
Gubu mpaka mnatia kinyaaHuyu Aliyefika Bei Anahaha Sana
Askari anapossbabisha kifo chochote kisichotokana na hukumu ya Mahakama huyo kaua na kuvaa kwake crown maana yake serikali inawajibikaAnaposema serikali imeua wananchi wake ana hakika hao askari wa wanyamapori wanaofanya hivyo wametumwa na serikali?
Kwangu hii ni sawa na yule kijana wa Babati aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, au yule wa Mtwara nae aliyeuwawa akiwa mikononi mwa polisi, halafu mtu aseme serikali imewaua, anyway ngoja apeleke ushahidi wake.
Natumai ofisi ya Spika haitauficha huo ushahidi kama kawaida yao, itauleta mbele ya umma kila mtanzania ajionee.
Mna wivu kama Said mume wa SalhaMtu aliyenunuliwa kama bidhaa ni wa kupuuzwa tu