Mwita Waitara: Serikali inaua wananchi wangu wa Tarime vijijini. Tume zinaundwa na hakuna majibu

Nawaambia kila siku uzeni meno ya tembo mjenge uzio kwenye Vijijini vinavyopakana na hifadhi kuzuia binadamu na Wanyamapori hamsikii..
 
Askari anapossbabisha kifo chochote kisichotokana na hukumu ya Mahakama huyo kaua na kuvaa kwake crown maana yake serikali inawajibika
Kwa hiyo askari akiwa amevaa "crown" kwenu hawezi kuwa na maamuzi yake binafsi?!

Mnadhani askari ni kama robot wa serikali?
 

..katika mazingira hayo serikali inatakiwa iwashtaki polisi walioua wananchi ili ieleweke kwamba matukio hayo hayana baraka za serikali.

..pia serikali iwalipe FIDIA ndugu wa marehemu waliouawa au kuumizwa na polisi wake wakatili na wazembe.
 
MSALITI HUYO

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…