ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 861
- 1,426
PoaMimi niko na mume mkuu
Sasa zamu yako nisaidie kuita mdada yeyote yule asiye kuwa na mume naimani utakuwa unawajuwa baadhi,nisaidie mmoja tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PoaMimi niko na mume mkuu
Mbona ww ni wa zamani jamani hauwajui wadada humu au ni domo zege jamani ngoja nikuitie geniveros ukuje huku ndugu yangu unaitwaPoa
Sasa zamu yako nisaidie kuita mdada yeyote yule asiye kuwa na mume naimani utakuwa unawajuwa baadhi,nisaidie mmoja tu.
Kukulana sio kitu cha mchezo mchezo lazima uwe na hisia na mtu halafu mpendane la sivyo utakuwa mchezo wa kubakana tu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Domo zege mwanaume anayetamani mwanaume halafu kutongoza hawezi akimwita atajichekesha weeh anashindwa kumwambia nakupendaDomo __ _____________ Ndio likoje
Hawasikii wameziba pamba masikioni[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Tanescoooo
Hongereni huko jamani, giza linatisha hilo na mvua duuSasa hapo kwa tanesco ndio utata yani bora ipige tu ya kutosha ila tanesco wasifanye yao...
Pole sana asee sisi huku bado wapo pamoja na sisi
Una uzoefu nazo eenh inakuwaje tamu huku unakuwa kama unabakwaAlafu show ya kubakana inakuwaga tamu kinyamaaaaaa
Huko kubakana kwa kukubaliana sio kubakwa tena umekubali ukulwe kwa uamuzi wakoNi kule kubakana kwa kukubaliana.
Asante ndugu tena ngoja nicharg simu kabisa wasije kufanya yao na hukoHongera huko jamani giza linatisha hilo na mvua duu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] anajifanyaga nunda kweli hao jamaaTutawazibua
Hawachelewi kuna mtu ananiambia huku lugalo giza vipi huko nikacheka tu pambana tu wanguAsante ndugu tena ngoja nicharg simu kabisa wasije kufanya yao na huko