Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Poa
Sasa zamu yako nisaidie kuita mdada yeyote yule asiye kuwa na mume naimani utakuwa unawajuwa baadhi,nisaidie mmoja tu.
Mbona ww ni wa zamani jamani hauwajui wadada humu au ni domo zege jamani ngoja nikuitie geniveros ukuje huku ndugu yangu unaitwa
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kukulana sio kitu cha mchezo mchezo lazima uwe na hisia na mtu halafu mpendane la sivyo utakuwa mchezo wa kubakana tu
 
Back
Top Bottom