Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Unanikana tena si kwa kazi ya jana uliyonitumaDen gan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanikana tena si kwa kazi ya jana uliyonitumaDen gan?
Ndio maana nakupenda mdogo wanguSawa kaka. Uko na mimi
Tanga ipi hiyo, jana tu hapa mtaani palikuwa na kigodoro mtoto wa jirani anaolewa na binamu yake.Hapana bwana. Tanga hatuna hizo
Wa kulindwa shunie au mwengne?Mmmmh shemu. Nilikuahidi nitamlindia ndugu yangu kumbuka
Mama wako wapi kwaniInabidi uje sasa, si unajua nyumba mwanamke.
Mumu akikudakaaMzigua90 [emoji3]
Ilikuwa mda sakayo,bonny na mbalizi mmu hukoNani kapata ban tena?
hahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naanzaje kukununia mm jamani si nitakufwa
Unacheka nn na wewe unaelekea huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijiji chake cha ujamaa
Nitumie nauliTukutane Pale Magomeni (PM) jisogeze taratibu nikukute njiani .
Niingizie cross mkuu, utapata hela ya apple punch.Ha ha ha mkuu pambana maana mdogo wangu humu ndan ana kijiji chake cha ujamaa
C.c Mzigua90
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Idadi yao ishanichanganya tuanze kuhesabu upya
We pokea tu wote. Atakaeput a ring on it ndo anakua mwenyewe. Sasa hub naendelea kuwachujaIdadi yao ishanichanganya tuanze kuhesabu upya
Mm je mdogo wako mie haunipendi kwani halafu nilipe hela ya kazi niliyofanyaNdio maana nakupenda mdogo wangu
kudondokeana tena....si mtaumizana ss!![emoji20]Poa kaka. Sakayo anafaa kaka mdondokee tuu