Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Umeniita vizuri shemejiNaam Shuuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniita vizuri shemejiNaam Shuuu...
Asante sanaEwaaaa,hongera sana babe.
Hahhahahhah...Jamaa asituangushe sasaNimeshakuja Billie gates niko pm kwako kazi kwako sasa
0713 800800 nitumie hukoNitumie namba yako nikutigopesa au nikuVodapesa .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sa hv umeanza na ujumbe wa nyumba 10
Ahaa haya waambie walipe na mahar in advance best offer tutamfikiria kwa karbu zaidWe pokea tu wote. Atakaeput a ring on it ndo anakua mwenyewe. Sasa hub naendelea kuwachuja
Wamekimbia ugali tembele kila siku.Mama wako wapi kwani
Ukubwa dawaNamshkuru Mungu kwakweli siwezi mkimbia mwanaume sababu ya shida kwenye maisha kuna kupata na kukosa young
Hahah!! Acha zako chief muite mmoja tuhivi tunaruhusiwa kuita wangapi wangapi chief?
mm nataka kuweka list kabisa hapa...
kukimbia kupo tu Shunie [emoji23][emoji28][emoji23]Namshkuru Mungu kwakweli siwezi mkimbia mwanaume sababu ya shida kwenye maisha kuna kupata na kukosa young
Yaan mpaka mwenyewe najishtukia jamani sijui nilizaliwa kukiwa na mahela pembeni nakumbuka jana tunaongea nakwambia naomba hela sasa hahahha ila kaka bonny Mungu akuweke tu kuna mda nakuchukulia kama babu ila hela ya kazi yangu usisahau kunilipaMdogo wangu wewe unapenda sana hela
Tatizo sakayo ananiogopa[emoji23] [emoji23] usikute tunakaa mtaa mmoja.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu upo karibu na sakayo msikute mnajuana ebu tafutaneni
Hahahha kakimbiaHahhahahhah...Jamaa asituangushe sasa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wamekimbia ugali tembele kila siku.
Ukubwa unasaidia sanaUkubwa dawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]R.I.P in advance hiyo namba ya gari tena ile Noah nyeupe.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]