Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Hahaha, usinicheke tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf ina vituko sana asante sana melo kwa kutuletea hiki kitu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha, usinicheke tu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf ina vituko sana asante sana melo kwa kutuletea hiki kitu
Hapana aisee siwezi mkimbia sababu ya shida ni mapito tu hayokukimbia kupo tu Shunie [emoji23][emoji28][emoji23]
ukiona shida zinazidi tuu wala hazina dalili za kupungua jua hamuendani hahaha....kimbia tu
Mmmmh. Labda waarabuTanga ipi hiyo, jana tu hapa mtaani palikuwa na kigodoro mtoto wa jirani anaolewa na binamu yake.
Hakika ulinzi wako ni hatari sana...Mmmmh shemu. Nilikuahidi nitamlindia ndugu yangu kumbuka
Mscheeeww[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kijiji chake cha ujamaa
Shunie namlindiaWa kulindwa shunie au mwengne?
[emoji23][emoji23][emoji23]hivi tunaruhusiwa kuita wangapi wangapi chief?
mm nataka kuweka list kabisa hapa...
Young kweli kama upo muheza mjini mtakuwa mnajuana tuTatizo sakayo ananiogopa[emoji23] [emoji23] usikute tunakaa mtaa mmoja.
Aaah. NakumbukaIlikuwa mda sakayo,bonny na mbalizi mmu huko
hahaha salamu tu anidake, sio ubinadamu huo ss, ila umenisusa siku hizi....nimekuMiss mm[emoji20]Mumu akikudakaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe nakucheka kwa mambo zako tuHahaha, usinicheke tu.
Nipe mimi hiyo hela ntampaNiingizie cross mkuu, utapata hela ya apple punch.
Kwani hutaki kulindwaHakika ulinzi wako ni hatari sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mscheeeww
Acha kabisa, hiyo kitu napenda sana yani nikila roho yangu inasuuzika kabisa.Eti ugari tembele kitu fungu la miambili wanakula familia nzima na ugari unaisha ,
Asee shikamoo kwa aliyegundua hiyo mboga.
WadigoMmmmh. Labda waarabu
Nilindie tu ndugu yangu wewe ni ndugu yangu huwezi kuona mambo mambo ukakaa kimyaShunie namlindia