NATAKA SANAKwani hutaki kulindwa
Mie nipo hapa mwambie asiniogope banaYoung kweli kama upo muheza mjini mtakuwa mnajuana tu
Mhhahaha salamu tu anidake, sio ubinadamu huo ss, ila umenisusa siku hizi....nimekuMiss mm[emoji20]
haaah!! kumbe kuita ndio kuoa?[emoji20]Kwani waislam kuoa mwisho wangapi mkuu ita idadi yako inayokutosha huko PM.
Yaani kila nikikuona naguna sijui una nini weweMbalizi una nini lakini
Hahhaha kwa herufi kubwa huyo mlindwaji mwenyewe sasaNATAKA SANA
Hahaha, watoto wa mjini wanasema nimeingizwa choo cha kike[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe nakucheka kwa mambo zako tu
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Umeniita vizuri shemeji
Njoo PM tumalizane kwanza.Nipe mimi hiyo hela ntampa
Basi mtakuwa mnajuana ebu nitamwambia akupm jamani mko karibu ndio vizuriMie nipo hapa mwambie asiniogope bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unakula huku unajifariji kwa kusema kwamba inaongeza damu.
usikufwe bwana....mawasiliano muhimu[emoji4][emoji4]Kweli Miller nimnunie sakayo nitakufwa mie
Sema kweli jamani kwahiyo ukiniona unakuwaje jamaniYaani kila nikikuona naguna sijui una nini wewe
HahahaUnakula huku unajifariji kwa kusema kwamba inaongeza damu.
Mioyo kudondokeanakudondokeana tena....si mtaumizana ss!![emoji20]
inabidi tumuandalie zawadi Melo kwakweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jf ina vituko sana asante sana melo kwa kutuletea hiki kitu
Inawezekana, mwambie.Basi mtakuwa mnajuana ebu nitamwambia akupm jamani mko karibu ndio vizuri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] choo cha kike unakojoa huku umechuchumaa ebu fanya na mm unitumie mahela basi au unabagua watu wa kuwatumia youngHahaha, watoto wa mjini wanasema nimeingizwa choo cha kike