[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe na mzigua yaani kama nawaonaHahaha
Kwanza wakiniona wataanza kupambana na mie aki
HahahaHata ikiwa ya mjomba, ndio yako hivyo... Mimi nishaamua hata siogopi tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapi hukoWw hata sikuogopi, najua pa kukukamata
SawaIla ukweli ni nini msifanyiane hivyo jamani
Tutakulinda bega kwa begaSijikatai walaa!! Unajua watu wa humuuu!! Comments zao tuu nitakufwa
Hamna tena tulishamalizana na zile habari ikitokea labda hatujaonana majukwaani ndio tunatafutana kusalimianaSasa si uendelee kumfata?! Nikiwa na shida nitakutuma
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Mie naogopa ikibembea humuu!! Huko pm siogopii! Tatizo comments aki
Yani vile unajua mimi sijazoea kumfanyia mtu vitu kama vile, nafikiria atakuwa anajisikiaje muda huu, mana kuna wakati alinitafuta anaomba nimsamehe nikampotezea.Hahahah kwa nini sasa unamuonea huruma
Dada muwe kama zamani msichuniane jamani mana kaniambia nikwambie na weweSawa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe sikuamini utashusha post yako ya mguno na kusepaTutakulinda bega kwa bega
sawa chief, asante sana.Kuwa makini boss, yaliyomkuta mamba yanaweza kumkuta boko.
We nasikia ni handsomeMimi zangu mtu akiweka aweke tu, atajua mwenyewe
Aiseee kumbe anajutia alichofanya sasa kwa nini afanye hivyo humu jf humu kunasikitisha sana mpaka umwamini mtu unatakiwa ujue huyu mtu kweli ni wa maanaYani vile unajua mimi sijazoea kumfanyia mtu vitu kama vile, nafikiria atakuwa anajisikiaje muda huu, mana kuna wakati alinitafuta anaomba nimsamehe nikampotezea.
We mwanamke viipi, mtaka cha uvunguni sharti ainame, ndo nakugharamia hivyo we unaleta habari za BADOO!? Kwa heriiiiUzuri wake me huwa siuzi we nenda badoo tu huko utawapata wa kuwapa
Uje mwenyeweSasa si uendelee kumfata?! Nikiwa na shida nitakutuma
Khaaaaa umesikia kwa naniWe nasikia ni handsome
Umeshaitwa na wangapi?Dada muwe kama zamani msichuniane jamani mana kaniambia nikwambie na wewe
AiseeUzuri wake me huwa siuzi we nenda badoo tu huko utawapata wa kuwapa
Sasa mm huwa siuzi ndio ubaya wake hapoWe mwanamke viipi, mtaka cha uvunguni sharti ainame, ndo nakugharamia hivyo we unaleta habari za BADOO!? Kwa heriiii