Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Yani vile unajua mimi sijazoea kumfanyia mtu vitu kama vile, nafikiria atakuwa anajisikiaje muda huu, mana kuna wakati alinitafuta anaomba nimsamehe nikampotezea.
Aiseee kumbe anajutia alichofanya sasa kwa nini afanye hivyo humu jf humu kunasikitisha sana mpaka umwamini mtu unatakiwa ujue huyu mtu kweli ni wa maana
 
Back
Top Bottom