Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hahaha labda umekuwa mweusiusikufwe bwana....mawasiliano muhimu[emoji4][emoji4]
mwambie Sakayo namsalimia na mm, yeye naona hanioni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha labda umekuwa mweusiusikufwe bwana....mawasiliano muhimu[emoji4][emoji4]
mwambie Sakayo namsalimia na mm, yeye naona hanioni.
Sasa mbona mm hawakuji pm jamaniMkuu usijifanye kipofu hapo ukiita akiitika ndio luksa yenyewe hiyo ya kwenda Pamoja Maishani (PM)
Siku hizi nabagua aisee[emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] choo cha kike unakojoa huku umechuchumaa ebu fanya na mm unitumie mahela basi au unabagua watu wa kuwatumia young
Kweli kabisa hiki kitu cha jf sio cha mchezo mchezoinabidi tumuandalie zawadi Melo kwakweli
mmh! ngoja niangalie nilipoitwa mm basi...Hahah!! Acha zako chief muite mmoja tu
Nitaongea nae akupm sasa hivi amefunga ingekuwa mwanzo ungeshampmInawezekana, mwambie.
Ahaa,poaNitaongea nae akupm sasa hivi amefunga ingekuwa mwanzo ungeshampm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usitufanyie hivyo nitumie kwanza na mm halafu ndio ujifunze roho mbayaSiku hizi nabagua aisee[emoji23] [emoji23]
Nimejifunza roho mbaya.
Hahaha, hapana aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usitufanyie hivyo nitumie kwanza na mm halafu ndio ujifunze roho mbaya
hongera sana, ndio upendo....ila zikizidi sana kimbia tu bwana, wanasema wawili wakipata Mungu hufungua baraka.Hapana aisee siwezi mkimbia sababu ya shida ni mapito tu hayo
Unajua siwez kabisaNilindie tu ndugu yangu wewe ni ndugu yangu huwezi kuona mambo mambo ukakaa kimya
hahahaMscheeeww
Nimekumiss pia wazamanihahaha salamu tu anidake, sio ubinadamu huo ss, ila umenisusa siku hizi....nimekuMiss mm[emoji20]
Mmh! yaani anakujaga maeneo muhimu kweliHahhaha kwa herufi kubwa huyo mlindwaji mwenyewe sasa
Mngh!Sema kweli jamani kwahiyo ukiniona unakuwaje jamani
sijui list gani unaisemea Shunie [emoji3][emoji14] ila natamani kuwepo na mm [emoji1][emoji1]Mh
Na wewe upo kwa list kwani
Mbona nimeshafungua jamani pm iko wazi karibuni sanaaaNimekuja nimekuta makufuri yale ya kijerumani full security 24 hoursj jifanye umesahau kufunga ata dakika uone Pale Miembeni (PM) kwako kutakavyomiminika
Nimepitia uzi mzima sijaona hilo swala sasa wewe fanya mpango umuite mtu tummh! ngoja niangalie nilipoitwa mm basi...