Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeAsmaa80 alikuwa anashiriki vizuri tu, tena alikuwa anatoa ushauri mzuri sana, ila huyu nahisi kabadili ID, na housegirl nae alikuwa ni mshiriki mzuri tu sema huyu anamapenzi ya kizungu mno
Hahahaaa. Kuumbe.Anaelewa sana sema tu anaogopa kufunguka
Khaaa unaongea na nani sasaHahaha
Siwezi kukulwa kifala aki, niamini
Ni nini lakiniKhaaaa
Hahhaha sasa pm si umefungaYaani nimfuate pm nimwambie namsalimia?! Khaaaa
Hahah!! Yupo vizur sanaMbalizi ni mdogo wake na Erick
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Davert tena alivyo mnoko.
Umenishinda tabiaNi nini lakini
Na mbalizi jamaniiKhaaa unaongea na nani sasa
Jamani nakushindwaje mmUmenishinda tabia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sasa mbona haujamquote yeyeNa mbalizi jamanii
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hakuna kitu huyo muongo tu dhumuni la post yake lilikua ni kinichafua tu
Housegirl ana story ka za Miss natafuta vilee!Asmaa80 alikuwa anashiriki vizuri tu, tena alikuwa anatoa ushauri mzuri sana, ila huyu nahisi kabadili ID, na housegirl nae alikuwa ni mshiriki mzuri tu sema huyu anamapenzi ya kizungu mno
Hahah aya bhn