Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Huwa inatokea mara moja moja tena aliyekumention akikosea kuandika jina kwa usahihi, mfano Davet aliandika jina lako kwa kuanza na herufi ndogo mwanzoni tofauti na herufi kubwa ya kawaida ya ID yako.
Hahah!! Unanitafutia ubaya adi kwenye kutaja jina tu sasa

[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom