Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Ujue nishazowea kupata notification nikitumia Web sasa huwezi amini eti mmenimention ujumbe nimepata kwenye App. Nimeona kama maajabu ujue.

Hii kitu haijawahi tokea kwangu rafiki.
Huwa inatokea mara moja moja tena aliyekumention akikosea kuandika jina kwa usahihi, mfano Davet aliandika jina lako kwa kuanza na herufi ndogo mwanzoni tofauti na herufi kubwa ya kawaida ya ID yako.
 
Na ndio nilichokiona mdogo wangu. Ila nimeshangaa yaani.
 
Back
Top Bottom