Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Hahaaaa. Mie namkubali Mwifwa mambo yake huwa ni chini kwa chini. Hata akikosa yanabaki huko huko chini. [emoji85] [emoji85].

Mwifwa nakuona tu mdogo wangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huu ukweli ngoja niupishe kwanza
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Back
Top Bottom