Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Mwite msichana yeyote humu JamiiForums akiitika tu basi nenda kamalizane naye PM

Hahaha huku kwema kabisa, yaani mvua tumekuwa kama kobe
Habari ya wewe, hayo masharti anataka ushindwe
Masharti yenyewe tayari nmesha yashindwa mimi.... hahah!!

Eeh!! Hii mvua bhn naona imeamua kufanya yake sasa hakuna jinsi zaidi ya kuwa makobe tu kutwa nzima ndani..
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125]
 
Jamani mie niwaache sasa!
Bonie my babe, umeamua kunikimbia eeeh!!

Zero IQ, asante kwa uzi wako jamanii!!
Uzi mtamuu kinyamaaaaaa unaita tu mzee akiitika unamuibukia PM.
 
Jaman nitaanza kuwataja kwamajina sasa maana naona hamtaki kuja toka kumekucha nalalamika mm tu...
 
Back
Top Bottom