Mwitikio wa Kitabu cha Eric Kabendera umekuwa tofauti na Matarajio

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
14,762
Reaction score
32,386
Kwa kweli hili jambo limewaumiza sana wafadhiri na mwandishi mwenyewe. Kimekuwa kama kitabu cha mchanganyiko wa stories za mtaani kuhusiana na Jambazi mmoja maarufu au mtu mmoja mashuhuri.

Ni mkusanyiko wa nliambiwa, nlisikia na watu wanasema. Hakuna ushahidi uliowekwa wazi. Najiuliza ina maana Eric Kabendera hakujipanga? Hakufundishwa uandishi wa vitabu vya ukweli unakuaje? Inasikitisha sana.

Walio msaidia wanasema kitabu kimekuwa hakina impact ambayo ilitegemewa na hasa kinapomwandika mtu ambaye ameshakufa. Wanadai ni bora angepewa hiyo kazi mtu mwingine.
 
Mila za kiafrica marehemu hasemwi

Mila za kiislamu taja mema tu ya marehemu
 
Kwa kweli hili jambo limewaumiza sana wafadhiri na mwandishi mwenyewe. Kimekuwa kama kitabu cha mchanganyiko wa stories za mtaani kuhusiana na Jambazi mmoja maarufu au mtu mmoja mashuhuri.

Ni mkusanyiko wa nliambiwa, nlisikia na watu wanasema. Hakuna ushahidi uliowekwa wazi. Najiuliza ina maana Eric Kabendera hakujipanga? Hakufundishwa uandishi wa vitabu vya ukweli unakuaje? Inasikitisha sana.

Walio msaidia wanasema kitabu kimekuwa hakina impact ambayo ilitegemewa na hasa kinapomwandika mtu ambaye ameshakufa. Wanadai ni bora angepewa hiyo kazi mtu mwingine.
Watu wameandika juu ya Napoleon wa Ufaransa, Gekhins Khan wa Mongolia, kwani walikuwepo?
 
Watanzania na vitabu wapi na wapi mkuu.

Hata kitabu cha Mengi au Mkapa, pamoja na wao kuwa so popular nchini, vitabu vyao vimesomwa na watu fulani tu.

Ije kuwa huyo Kaflag na stories zake za kuokoteza!!
 
Tatizo sio uandishi wa Kitabu, tatizo ni mlaji nambari 1 anapaswa kuwa Mtanganyika, mtu ambaye yeye anapenda Instagram na umbea wa zuchu basi.
Pia Mtanganyika alishafanyiwa brain wash na Magufuli. Kwahiyo habari zozote hasi za Magufuli Mtanganyika hataki kuzisikia
 
Back
Top Bottom